Recent content by Mwanahakij

  1. Mwanahakij

    Dk. Slaa matatani kwa ubaguzi

    Utakufa kwanza wewe!
  2. Mwanahakij

    Zitto: ACT Hatutaki Anasa, Usafiri Wetu Treni!

    Waswahili walisema, Kazi ni kazi, mradi mkono uende kinywani! Facts za mleta mada! Join Date : 20th April 2015 Posts : 55 Rep Power : 312 Likes Received52 Likes Given0
  3. Mwanahakij

    CHADEMA noma: Mwenyekiti wa Mtaa Bukoba Katotorwansi ni Mechanical Engineer

    Mtaani kwetu Mlalakua tumepiga magamba yote chini. Mjumbe mmoja alieshinda kwa tiketi ya cdm ni proffessa wa udsm
  4. Mwanahakij

    On Point: Bunge Lisiposimamiwa na Chombo Chochote Linakuwa La Kiimla

    Mzee mwanakijiji, watanzania wote sio mabwege, kama wengine wanavyofikiri! Bunge lilikuwa halali kukataa kutekeleza uamuzi haram! Yamkini, Bunge la jamhuri litakuwa limekosea kudharau amri ya zuio la mahakama kuu kama zuio lenyewe ni halali kisheria! Hivi mahakama inaweza kutoa amri ya kuzuia...
  5. Mwanahakij

    Soma sheria ya Maandamano na Mikutano kabla hujavunjwa miguu au kutupwa gerezani!

    "The Constitution is the basic or paramount law of the land and cannot be overriden by any other law. Where, as in the above provision, the enjoyment of a constitutional right is "subject to the laws of the land." the necessary implication is that those laws must be lawful laws. A law which...
  6. Mwanahakij

    Cheyo, Waislamu wameitisha kikao kupinga katiba,na mimi niitishe cha Wakristo

    Haki haiombwi ila inadaiwa. Watu wanafanya maigizo Dodoma wanadhani wanatengeneza katiba! Hawa wenzetu Waislamu wataomba sana, lakini ombi lao halitaingizwa kwenye katiba. Chezea nyinyiemu wewe!
  7. Mwanahakij

    Msikiti wa Mtambani Unawaka moto tena

    Hapa kuna namna, si juzi tu uliungua tena?
  8. Mwanahakij

    Mrema: Nachezewa rafu Jimboni na Mbatia

    Mzee wa kiraracha, kwisha habari yake! Akaungane na Kimaro, mbunge aliepita!
  9. Mwanahakij

    Kikao cha UKAWA na CCM chavunjika jioni ya leo, hakuna muafaka

    Hivi ukawa warudi bungeni wakajadili nini? Katika hotuba yake ya kuzindua bunge, hili la walaji wa katiba, rais wetu, alieamua kuvaa joho la ccm si alisema wanaotaka serikali 3 wasubiri hadi atoke madarakani? Kuna nini tena cha kwenda kujadili hapo? Wadanganyika tuwe serios!
  10. Mwanahakij

    Ufafanuzi wa IPTL kwa Bunge

    Huu ni wizi mtupu! watu wenye kufanya tafakuri hawawezi danganyika kiraisi hivyo, kwa propaganda za huyu IPTL. The issues na facts are very simple:- 1. Ni kweli kuwa fedha ziliwekwa kwenye akaunti ya Escrow zilikuwa zinalipwa na TANESCO kutokana na mgogoro wa gharama za malipo kati ya TANESCO...
  11. Mwanahakij

    1997 Mahakama Kuu ilimtia hatiani Wassira kwa vitendo vya rushwa katika uchaguzi akazuiwa

    Uamuzi wa kumfungia Wassira kugombea uongozi wa serikali kwa miaka 5 kwa kosa la rushwa haujawahi kufutwa na mahakama! Mahakama ya rufaa ilitupa rufaa yake na ilimfungia kwa miaka 5 na alitumikia kifungo hicho. Kumbukumbu za mahakama ziko wazi. Kasome kesi ya Stephen Wasira v. Joseph Warioba...
  12. Mwanahakij

    Salamu za ACT-Tanzania kwa Wananchi wote

    Vigezo au matumizi mabaya ya madaraka? Chama kitasajiliwaje bila kuwa na katiba? hata usajili wa muda huwezi pata bila katiba! Sheria inasema hivi: Application for provisional registration (1) Any person applying for the provisional registration of a party shall submit to the Registrar an...
  13. Mwanahakij

    1997 Mahakama Kuu ilimtia hatiani Wassira kwa vitendo vya rushwa katika uchaguzi akazuiwa

    Ukweli utakuweka huru na ukweli utabakia ukweli hata vibaraka wa wala rushwa wakijaribu kuficha au kuupindisha. Ukweli halisi ni kuwa Wasira hakushinda rufaa yake! Mahakama kuu ilimpata na hatia ya kujihusisha na vitend vya rushwa wakati wa uchaguzi ikamfutia ubunge, lakini haikumpiga marufuku...
  14. Mwanahakij

    Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

    Well said mkuu! Kumbe ccm bado wapo wachache wenye fikra huru na wanaoweza kujenga hoja na si kuleta vioja vya matusi kushambulia mleta mada au wenye mawazo tofauti!
  15. Mwanahakij

    Mbowe,Lissu,Mnyika wafanya kweli Kasulu, CCM wakili wanatisha

    hii umecopy na kupaste maana hata kwenye uzi wa dr slaa, akiwa dodoma umechangia hiki, neno kwa neno! Wakati chama cha mabwepande kimelala wenzao cdm wanazunguka tanzania nzima kuimarisha chama kwa mgongo wa katiba mpya!
Back
Top Bottom