Haiwezekani .......
mkuu ni kweli
Haiwezekani .......
Sheikh ponda ni mzee au kijana?
mkuu tofautisha mwana mwanamabadiliko na mtetezi wa mali. hebu fungua kamusi then upesti maana
Daa!!!...
Ni yale yale,hamna tofauti, kwa taarifa yako hakuna kamusi yenye maneno hayo,hizo ni sentensi
Nimependa hiyo ya Radio Tumaini kuripoti habari ya msikiti. Ingekuwa kanisa ndio linawaka, radio Iman ingekaa kimya! Laudetur Iesus Christus ...Kuna habari ya kuteketea kwa msikiti wa mtambani uliopo kinondoni dar es salaam
chanzo cha habari Radio Tumaini
![]()
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Peter Slaa,ametoa msaada wa madawati 60 kwa Shule ya Mivumoni Seminary iliyopo Kinondoni. Shule hiyo iliathiriwa vibaya na moto uliounguza ghorofa ambamo kuna shule hiyo na Msikiti wa Mtambani. Ametimiza ahadi yake aliyoitoa alipotembelea eneo lililoathirika