Mrema: Nachezewa rafu Jimboni na Mbatia

Mrema: Nachezewa rafu Jimboni na Mbatia

Tararilaaaa! Mwanzo wa UKAWA kumalizana, niliyasema haya na bado..

Wewe uko kwenye usingizi wa pono! Mrema na UKAWA wapi na wapi! Ni kama ilivyo kwa kijana wako Zitto na UKAWA. Wote vibaraka wa CCM na wanaumia sana wanaposikia wapinzani wanaunganisha nguvu!
 
by Mkandara;
Tararilaaaa! Mwanzo wa UKAWA kumalizana, niliyasema haya na bado..



Mkuu Mkandara this is too low for you!
Hapa jukwaani unaheshimika sana kwa michango yako yenye nguvu....lakini kwa hili la kutokujua Ukawa inaundwa na vyama gani Umejishushia heshma yako!

TLP hawapo kwenye kundi la Ukawa!
Nimeamini kuwa Mwanaccm huwa wanashikiwa akili na Mr ndovu na wewe ukiwemo Mkandara shame on you gambaz!
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa kiraracha, kwisha habari yake! Akaungane na Kimaro, mbunge aliepita!
 
Tararilaaaa! Mwanzo wa UKAWA kumalizana, niliyasema haya na bado..

Tanzania ni nchi ya tisa kwa watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria nilikua sijui kwanini nadhani wewe unamchango mkubwa kwenye hili

mrema yuko ukawa
 
Hivi Lyatonga ni mbunge wa maisha Vunjo? Au ana hati miliki ya jimbo hilo? Vinginevyo mzee akapimwe afya yake inawezekana ana matatizo kwenye ubongo wake.
 
by Mkandara;
Tararilaaaa! Mwanzo wa UKAWA kumalizana, niliyasema haya na bado..



Mkuu Mkandara this is too low for you!
Hapa jukwaani unaheshimika sana kwa michango yako yenye nguvu....lakini kwa hili la kutokujua Ukawa inaundwa na vyama gani Umejishushia heshma yako!

TLP hawapo kwenye kundi la Ukawa!
Nimeamini kuwa Mwanaccm huwa wanashikiwa akili na Mr ndovu na wewe ukiwemo Mkandara shame on you gambaz!

Tunakuongezea na Cheyo na Dovutwa hao wote hawako ukawa ingawa unaweza kuwaona wakitokwa povu jingi kuwazungumzia ukawa. Uwakilishi wao ni wa peke yao hawana mbunge mwingine kwenye vyama vyao. Kama Dovutwa wala hana ubunge ila alipewa lift kwenye gari la Tcd kuwakilisha vyama visivyo na wabunge. Ukawa wana zaidi ya wabunge 57 hivyo hawa wanaojiwakilisha wenyewe hawana haki ya kuwa msemaji wa ukawa. Kwa mrema na jimbo la vunjo amesahau tu kuwa wana vunjo walimwambia kabisa kuwa tunakupitisha umalizie uzee wako vizuri na sio kwa uwezo au sababu yoyote ile. Hiyo ilikuwa bakshishi kwake. Kwa uchaguzi wa 2015 asitegemee kushinda. Hatuwezi kumwacha kijana msomi na mwenye uwezo kama Mbatia au majembe mengine yaliyopo chadema.Ajitambue kuanzia sasa asije akatapanya vihela vyake vya akiba akitegemea ubunge Vunjo. Huo ni ushauri tu kwake vinginevyo haki ya kugombea anayo kwa mujibu wa katiba ya nchi na hata ya chama chake.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mgombea kutoka upinzani mwenye uwezo wa kumngo'a Mrema pale Vunjo!
 
Tararilaaaa! Mwanzo wa UKAWA kumalizana, niliyasema haya na bado..

Sikujua kama TLP ni sehemu ya UKAWA....kama ni kweli TLP ni sehemu ya UKAWA basi tutasikia mengi tu kuelekea 2015. Lakini hata hivyo Mbatia kama mwananchi Mtanzania mwingine ana haki ya kugombea na kupigiwa kura. Mtu kama umefanya mazuri jimboni kwako sidhani kama una haja ya kuwa na hofu na mtu mwingine. Mrema is so nervous about his ubunge.
 
Back
Top Bottom