Mwanahakij
Senior Member
- Jul 29, 2009
- 129
- 22
CHADEMA inakufa, ACT-Wazalendo inachukua nafasi. Lazima mkasimame usiku pale Billcanas.
Utakufa kwanza wewe!
CHADEMA inakufa, ACT-Wazalendo inachukua nafasi. Lazima mkasimame usiku pale Billcanas.
Tarifa zilizoripotiwa na gazeti moja la mkakati limebainisha kuwa ubaguzi wa mzee slaa sasa umemweka pabaya,
Tarifa zaidi zinasema kuwa mzee slaa amekuwa mbaguzi kila anapokuwa kwa kubagua kundi flani la watu kwa malengo anayojua yeye,
Tarifa zaidi soma gazeti la mkakati leo 30/04/2015.
![]()
We utakuwa unatokea Itilima
CHADEMA inakufa, ACT-Wazalendo inachukua nafasi. Lazima mkasimame usiku pale Billcanas.
babu kanyauka kwel sjui ugonjwa gan unamsumbua
Mimi najua tanzania daima kuwa mbowe kashika rimoti wewe unajua lipi tena?Watanzania wangefahamu haya magazeti kwa sasa nani kashika rimonti wala wasingeumiza kichwa
Mkuu unazungumzia urais gani labda wa twiga star.Wakianza kukufuatilia sana....
Wanakulalamikia sanaa..
Urais unao... Mzeeee!!
Mkuu kwani nani kaitetea ccm mada inasema ubaguzi wa slaa wala haijatajwa ccm mbona unakurupuka soma kwanza bavicha mnatia aibu kwa kukurupuka.kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.