Lema si aende mstuni akoneshe ukakamavu wake huo woga woga huku unatemebelea gari mayai,woga unakimbia mbuu sasa ni woga gani huo aende mstituni alfu awe na kundi lake nayo ni namna ya kuonesha ujasiri
Vyama vya upinzani umoja wenu ndo kunaweza kuwa poneo kwenu kuinusa ikulu ubinafsi na woga wa kuwa tukiungani mimi ntakuwa nani au ntabaki kama nani bado safari ni ndefu
Ya Ridhiwani,Makinda,Ngughai,Zitto,mkuu wa mkoa wa Arusha,Ludovic,Nchimbi zilitolewa wazi bila ya kificho na hao hao chadema mbona hapa mnasita kutoa hizo number na wengne wanakuwa wakali utadhni wengne kwao halali ila kwa hawa haramu? ?????
Ooh! Masikini Zitto my be mwana siasa hodali na mzalendo anaye fanya kazi ya kizalendo chini ya mwavuli wa wafanya biashara
why always you?
Thinking loudry?
Mbona hajawahi guswa au tajwa Mbowe au Dr Slaa je hawa ni wasafi 100%?? Naamini ipo siku utachoka na utaamua kuwachia ila historia...
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro Robert Boas wamemtia mbaroni mtu mmoja mjini Moshi kwa tuhuma za kuzalisha kienyeji soda jamii ya Cocacola zinazoz zalishwa na kiwanda cha Bonite Bottle LTD
Kiwanda hicho kinacho milikiwa na Mkrugezi Mtendaji wa IPP Reginald Mengi na kuzalisha soda...
Mwandishi Mkongwe wa vitabu toka nchini Nigeria Prof .Chinua Achebe amefariki dunia akiwa nyumbani kwake huko nchinu Marekani alipo kuwa akifundisha Brown University
Prof.Chinua ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 82 inasemekana hivi karibuni amekuwa akihudhulia hosptilini mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.