January Makamba

January Makamba

I was listening to the Beeb over the weekend. One of their weekly business fora. Topic ilikuwa leadership. Nafikiri kitakuwa katika rerun schedule hata sasa.

Jamaa mmoja panelist, mover and shaker wa kujimix na "The Davos Crowd", ma world leaders na global enterpreneurs anahojiwa akaulizwa mtu gani ana mu admire kwa leadership skills?

Nikafikiri atataja CEO wa Forbes 500 au kiongozi wa social movement inayojulikana sana.

Jamaa akamtaja mwalimu mmoja mwanamke kutoka Uganda vijijini huko, alikuwa impressed na jinsi huyu mwalimu alivyoweza kuji-organize with her meagre resources and in abject poverty kiasi cha kuwa na system nzuri tu ya kufundisha na kuepuka total colapse.

Akamtaja kwa jina, huyo ndiye mtu anayemu admire kati ya watu wote kwa uongozi. Huyu ni mtu ambaye kashakutana na world leaders kibao na ma jet set enterpreneurs wasio na idadi.

Nikaona duh, kibongobongo lazima mtu utaje a household name hapo!

Sijui kama ni huyo jamaa kwenye picha lakini baada ya Bill Gates kutembelea Bagamoyo na kukutana na mbongo mmoja aliporudi Marekani alitoa speech basi akawa anam-quote ideas za jamaa za kupambaba na malaria kila mara mpaka watu wakawa wanajiuliza who is this Tanzanian being referred na mtu kama Bill Gates?


bg1.jpg
 
Makamba yes problem yupo CCM tu. Watu mamia kwa maelfu awataki even kusikia neno CCM.
GOOD SOUND TO THEN NI CHADEMA.
 
doing your job is a revolutionary act.

Utashangaa mtu anapewa sifa kwa sababu tu "yule si mla rushwa".

Eboo, kutokula rushwa ndio tunavyotakiwa kuwa wote.Ukiwa huli rushwa ndo unafanya the bare minimum ya unayotakiwa kufanya, sasa hiyo inakuwa sifa kivipi? Kwa sababu watu wanaridhika na mediocrity?

Mzee Mwanakijiji alishawahi kusema kuwa “Watanzania tunapenda sana drama! Tunakuwa kama tunasikiliza "Penzi Kitovu cha Uzembe" au "Aliyejuu". Tunasubiri wiki baada ya wiki kuangalia kuna nini kipya......

Wapo kweli kabisa ambao wamekaa kwenye viti vyao wanacheka kweli na kusifia kuwa "bunge letu kali sana" au "waziri huyo bomba sana" [kisa tuu kwa kutimiza wajibu wake] Really?

Tutafungukaje kama tunashangilia mazingaombwe na kupongeza viini macho? Tumeharibiwa na kitu gani kiasi kwamba tunaridhishwa na vitu vidogo kama watoto wanapopewa chuchu za plastiki kunyonya ili waache kulia!.....

Mojawapo ya falsafa za uongo (deceptive philosophy) zinazonezwa sana ili kuzuia watawala kuwajibishwa ni hii ya "kuona mazuri vile vile".

Kwamba, wananchi wanatakiwa waone mazuri ya kuyasifia ili watawala wajisikie vizuri. Ni falsafa ya uongo kwa sababu serikali kufanya mazuri siyo hisani na wala siyo 'optional'! Ni wajibu wa serikali kufanya mazuri na haiitaji kusifiwa kufanya mazuri.

Kwamba, serikali ikijenga barabara kwa kodi za wananchi isifiwe? Kwamba ikijenga hospitali hata kama hazina madaktari, nyenzo au madawa ya kutosha bado isifiwe kwa sababu ni jambo "zuri"?

Kwanini umsifie Waziri kwa kufichua ufisadi? Alikuwa na option ya kutofichua? Polisi akikamata mwizi asifiwe kwa kukamata mwizi? Alikuwa na option ya kutomkamata?

Watawala wanaotumia kodi ya wananchi kuleta maendeleo na watu hao waliomba kibali kuwaongoza wananchi hawana sababu ya kusubiri wananchi kuwasifia "kwa mazuri" wanayoyafanya? Jukumu la wananchi kuangalia mabaya yanayofanywa na kuimbia serikali kwamba haya ni mabaya! Kwa sababu si jukumu wala sababu ya serikali kufanya madudu!.....

Watu pekee wanaostahili sifa ni wale wanaofanya vitu kwa kujitolea na kujituma wenyewe si kwa sababu wanalipwa au wameajiriwa. Wakitaka kupongezwa vyama vyao viwaandalie sherehe ya kuzungumza vizuri bungeni na za kufichua ufisadi.

Kwa sisi wananchi hatutaki kuona ufisadi it is as simple as that. Kama hawawezi kufanya kazi au kutimiza wajibu wao bila kusifiwa waache!!!

Tunasifia mazingaombwe na kupongeza viinimacho
 
Last edited by a moderator:
Sijui kama ni huyo jamaa kwenye picha lakini baada ya Bill Gates kutembelea Bagamoyo na kukutana na mbongo mmoja aliporudi Marekani alitoa speech basi akawa anam-quote ideas za jamaa za kupambaba na malaria kila mara mpaka watu wakawa wanajiuliza who is this Tanzanian being referred na mtu kama Bill Gates?

Si unajua tena kitu mpaka aseme Bill Gates.

Hata kama kuna mtaalamu wa mbu anawajua mbu wote mpaka kwa majina na ubini mnaye kijijini mwenu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ameleta umeme ,maji,madawa kijijini kwake?.pesa za jimbo lake zipo wapi ?mchague walioleta umeme,maji ,dawa na shule .Acheni mbwembwe Za bungeni na kelele hapa

Mbunge anachanzo cha mapato kuleta hayo? Stick on mobilizing people on how to get shule, dawa, maji n.k
 
Back
Top Bottom