Lema: Ubabe siyo dhambi, inategemea ubabe huo unaufanyia wapi

Hakuna mtu aliyekwishawahi kumuumbua waziri mkuu kwa kusema Uongo hadharani.
Bila Lema, Wasaliti ndani ya chama wangeendelea kuwepo mpaka leo na kufanikisha malengi ya CCM ya kukiua chama, bila Lema, tungeendelea kuwa na Madiwani mapandikizi Arusha, bila ya Lema, viti vinne vya Udiwani Arusha, CCM kwa wizi wao wangeweza kuambulia japo kimoja.
Bila Lema........

Upo sahihi kabisa mkuu
 
Mh Lema ni alama ya ukombozi wa fikra, yeye ni nuru kwetu, amekuwa kioo angavu kwa waaminio kweli na kweli iwawekayo huru,

Nikimsikiliza Mh Lema hujihisi namsikiliza Steve Biko ama Sanz Ki,

Taifa linahitaji wenye mioyo na uoni kama wa Lema ili litamalaki kuelekea nchi ya ahadi yenye maziwa na asali

You need to be exorcised from this horrible ignorance you possess,I feel sorry for your kids to whom this shaking ignorance of yours will be passed on!
 
Ndugu wana JF,

Katika kongamano la BAVICHA tulijadili miaka 52 ya uhuru pale eneo la Landmark hotel, Kamanda Lema alitoa hotuba yake fupi na yenye ujasiri na ya kuvutia sana.

Alitusihi na kutuhasa sana vijana wa leo kutokuwa na uwoga, Kamanda Lema alitueleza kwamba hata kama ni mtoto wake anamwosia kabla hajaondoka duniani hawezi kumueleza mtoto wake asome sana, bali atamueleza kwamba "HAKUNA DHAMBI MBAYA NA KUBWA DUNIANI KAMA WOGA".

Vijana wengi tulifurahi sana kwani kuna wasomi wengi ambao wamefanya mambo mabaya na ya kufedhehesha katika taifa, pia akatoa angalizo kuhusu Red brigade na Chadema vijana kwamba ni wakati wa kumlinda katibu mkuu wetu wa Chadema ambaye ni Dr Slaa, alihitimisha kwa kusema huu ubabe wa kijinga tunaofanyiwa na magamba tumechoshwa nao, sasa hatuwezi kuuvumilia kwa kuwa hata sisi (Chadema) tunaweza ubabe kwani "UBABE SIO DHAMBI INATEGEMEA UBABE HUO UNAUFANYIA WAPI".

Hapa ndipo napozidi kumkubali Kamanda Lema.

Yeah! Tokea lini Jambazi akawa mwoga!
 
To be honest, mie pia ni mwanaCDM lakini lema cmkubali kabisa - infact ni mwanaharakati tu na wala c mwanasiasa! tazama hata kauli zake zimekaa kisharishari tu, ningependa kuona mwanasiasa kijana akiibua hoja flani na kuitetea kwa facts.

Mtoa mada, naomba unitajie hoja moja tu iliyoibuliwa na lema kwa manufaa ya eidha wana AR au hata TZ yote toka amekuwa mbunge.................... (n.b - usimlinganishe na mwingine yeyote coz mada mezani ni lema).
Bahati ako umeniwhi mwishoni....Mkuu hivi mwenekiti Mbowe kawahi kuibua hoja gani ya msingi akiwa bungeni?Hapo kwa mini kabaang nakubaliana na wewe kuwa hafai
 
To be honest, mie pia ni mwanaCDM lakini lema cmkubali kabisa - infact ni mwanaharakati tu na wala c mwanasiasa! tazama hata kauli zake zimekaa kisharishari tu, ningependa kuona mwanasiasa kijana akiibua hoja flani na kuitetea kwa facts.

Mtoa mada, naomba unitajie hoja moja tu iliyoibuliwa na lema kwa manufaa ya eidha wana AR au hata TZ yote toka amekuwa mbunge.................... (n.b - usimlinganishe na mwingine yeyote coz mada mezani ni lema).

Sasa mi ndiye nianayemkubali kuliko wanasiasa wote vijana, maana siasa za kuvaa lisiti halafu unajifanya mstaarabu nwakati unanuka mavi sitaki. Viva lema rol modal wangu
 
You need to be exorcised from this horrible ignorance you possess,I feel sorry for your kids to whom this shaking ignorance of yours will be passed on!

Acha ushamba ww unayeattack watu unajifanya cdm ----- ww, unafajifanya mstaraabu halafu unabaka under 14, na yule mwanaharakati kusukuma maendeleo...hili linchi linamavilaza hili
 
Hivi kisomo maana yake ni nini? Maana hata Prof Muhongo nae amesoma lakini ndiyo vile kama mnavyomuona
 
Lema si aende mstuni akoneshe ukakamavu wake huo woga woga huku unatemebelea gari mayai,woga unakimbia mbuu sasa ni woga gani huo aende mstituni alfu awe na kundi lake nayo ni namna ya kuonesha ujasiri
 
Hivi kisomo maana yake ni nini? Maana hata Prof Muhongo nae amesoma lakini ndiyo vile kama mnavyomuona

Hakuna jinsi ya kueleza kuwa elimu sio muhimu kwa sababu kuna wasomi sio wazalendo au sio wastaarabu!!!!!?????

Kama unahitaji kivuli basi panda mti wa matunda ili upate vyote!!!!!!
Hivi sera ya elimu ya CDM inasema minimum grade kwa Mtanzania itakuwa ipi???!!!!
 
To be honest, mie pia ni mwanaCDM lakini lema cmkubali kabisa - infact ni mwanaharakati tu na wala c mwanasiasa! tazama hata kauli zake zimekaa kisharishari tu, ningependa kuona mwanasiasa kijana akiibua hoja flani na kuitetea kwa facts.

Mtoa mada, naomba unitajie hoja moja tu iliyoibuliwa na lema kwa manufaa ya eidha wana AR au hata TZ yote toka amekuwa mbunge.................... (n.b - usimlinganishe na mwingine yeyote coz mada mezani ni lema).

Una elimu gani na umesomea wapi
 
Mtu asiyethamini kisomo kipindi hiki huyo hana maana kabisa badala ya kushawishi kisomo cha kimapinduzi anasema eti watu wasiwe waoga bila hata kusema woga unatokaje wala kusema tofauti ya ujasiri wa critical mind na vurugu zisizo na tija!!!!!

Anahamasisha ubabe na mtoa mada anasema ni hotuba ya kuvutia sana na ukumbi ukakubali maneno haya ya kamanda????!!!!!!

Hivi BAVICHA ndio cream ya vijana wa chama,ndio tanuri la damu changa na fikra chipukizi???!!!!

I am disapointed with you guys!!!!!!

Hata mandela hakuwa na woga
 
kwani KAPUYA siniprofesa, wewe unajifunza nn kutoka kwa kapuya? akili yako inafanana kabisa na mavi yako!!

Ha ha haaaa mkuu umenifurahisha, ujue kuna watu wanatumia ------ kuwaza, kweli elimu inahitajika sana ktk maisha bt elimu gani ipo tz kwa sasa mtu anaweza sema kasoma? Kusoma tulisoma enzi zetu not now, na hata kusoma pia sio kuelimika, kapuya c ni profesa, mwigulu na nape c wanadegree hivi mavi hao elimu imewasaidia nini , kutwa nzima wanatembea kuwadanganya wananchi tuu maendeleo hakuna, au ccm si ni ya wasomi maprofessor tele, miaka 52 wamefanya nini? Je wakumbuka enzi za Mrema ni msomi yule?
 
aise weka hii akilini nyie wana cdm mabadiliko yatapatikana pale tu wachache wenye nia ya kweli wakatoa elimu ya kutosha kwa umma huku wakasacrifise muda wao mahitaji yao binafsi na kuweka rehani maisha yao co huyu lema still anapokea posh big up zito umefanya meng makubwa hukuogopa mtu wala kundi la wa2 hawa cdm mungu atawalipia na watapigwa mawe mpaka wafe nyau hawa
 
CCM wameishiwa na hoja, wamebaki kufanya maigizo, CHADEMA tuendelee kutangaza ukombozi wa fikra 2015 kitaeleweka tu

Eti Kamanda Mungi, wale WAHUNI kule KIGOMA walikuwa na maana gani kuandika kwenye lile bango LEMA - MINI KABANG?
 
To be honest, mie pia ni mwanaCDM lakini lema cmkubali kabisa - infact ni mwanaharakati tu na wala c mwanasiasa! tazama hata kauli zake zimekaa kisharishari tu, ningependa kuona mwanasiasa kijana akiibua hoja flani na kuitetea kwa facts.

Mtoa mada, naomba unitajie hoja moja tu iliyoibuliwa na lema kwa manufaa ya eidha wana AR au hata TZ yote toka amekuwa mbunge.................... (n.b - usimlinganishe na mwingine yeyote coz mada mezani ni lema).
kuiteketeza kabisa ccm Arusha , kufumua kabisa mtandao wa WASALITI kwa kupora computer ya MWIGAMBA , kitendo kilichopelekea kunusuru chama na uasi , kupandikiza ujasiri kwa vijana nchi nzima katika kuhakikisha wanazitambua na kuzijua haki zao kwa ile kauli mbiu maarufu inayoitwa UOGA NDIYO DHAMBI KUBWA NA MBAYA KULIKO ZOTE ! Lema ni mtu wa vitendo kwa hiyo usitegemee kutoka kwake HOTUBA NZURI ILYOREMBESHWA UONGO MWINGI , binafsi naipenda siasa anayoifanya MH LEMA , kwa nchi hii ndiyo inayotakiwa .
 
Back
Top Bottom