Recent content by mwanachondogoro

  1. M

    Nimesimamishwa kazi Serikalini, naomba msaada wa kisheria

    Mkuu Elli baba yangu alisubiri sana kulipwa malimbikizo mpaka mauti yamemkuta halafu kibaya zaidi walimfungulia kesi ya jinai kila akishinda wanakata rufaa hadi mauti yakamfika kesi ikiwa maakama kuu na kwa vile ni jinai baada tu a kifo kesi ikafutwa dhidi yake wamebaki wenzie sita .Na yeye...
  2. M

    Taratibu za kumkataa msimamizi wa mirathi Mahakama ya mwanzo

    mkuu shida yangu ni jinsi gani naweza kumtoa kusimamia na badala yake tumteue mwingine kwa sababu ni mzembe mno katika ufuatiliaji kiasi mali nyingine zinaelekea kupotea
  3. M

    Taratibu za kumkataa msimamizi wa mirathi Mahakama ya mwanzo

    Asante mkuu pia nimejaribu kuwauliza watu wawili mmoja Hakimu na mwingine kutoka Chama cha wanasheria wanawake.Ambapo hakimu aliniambia naandika barua kwa hakimu aliyesikiliza kesi mwanzo ya kumuomba afanye mapitio hukumu yake kwa kumuelezea sababu za yeye kufanya mapitio hayo na yule kutoka...
  4. M

    Taratibu za kumkataa msimamizi wa mirathi Mahakama ya mwanzo

    Heshimu kwenu wakuu nilikuwa nataka kujua taratibu zinazotumika kumkataa msimamizi wa mirathi Mahakama ya mwanzo jee unaandika ombi la kummkataa au unafanya vipi kwa sababu ni miaka miwili sasa tangu hukumu ya kumchagua kuwa msimamizi itoke na hajafanya chochote kuhusu mali za marehemu na...
  5. M

    Vigezo hamna mnataka kazi mtasubiri sana umri nao ndio huo hausubiri

    Umeona eeh Grace siku za kwanza walikuwa wananiona kama mshamba flani hivi siku hizi wanakoma na mimi mpaka bosi kubwa anashindwa kujizuia anaanza kuropoka
  6. M

    Vigezo hamna mnataka kazi mtasubiri sana umri nao ndio huo hausubiri

    Nilipelekwa ofisi niliyopo sasa na jamaa yangu wa karibu sana angalau ikajitolee kwa sababu ya ugumu wakazi nikamkuta boss wa pale anaongea sana kiingereza tena ukiongea nae utafikiri unaongea na mzungu mi nikajua ni bonge la msomi basi bahati mbaya yule bosi akasimamishwa kazi nafasi yake...
  7. M

    Jamani kwa wanaofahamu, hili ni tunda gani?

    hata siku oja hayawezi kuwa matofaa hayo zinduna
  8. M

    Nataka kuanzisha kituo cha msaada wa kisheria zanzibar

    nitafanya hivyo mkuu muda ashukuru sana nitakucheck pm
  9. M

    Nataka kuanzisha kituo cha msaada wa kisheria zanzibar

    Zanzibar kuna vituo viwili vya msaada wa kisheria ZANZIBA LEGAL CENTER na ZAFELA hiki ni chama cha wanawake wanasheria lakini kwa uzoefu wangu ivi vyote havina msaada sana katika jamii kwa sababu wote wanaofanya kazi katika vituo hivyo wengi wao si mawakili kwahiyo hata kama watampa mtu msaada...
  10. M

    CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

    asilimia mia wewe sie mbara hicho kiswahili chako tu kinaonyesha ila hata mimi nikitaka siku yoyote namiliki arddhi Zanzibar na hakuna wa kunizuia kwa sababu moja tu kwamba katiba ya Tanzania bara ambayo ndio katiba mama inasema mtanzania yoyote anao uwezo wa kuishi na kumiliki ardhi popote...
  11. M

    LL.B 1st class holder

    hahaha nimecheka vibaya mno katumia common sense kujibu swali
  12. M

    Hizi St.Kayumba ni tatizo

    useremala niliwahi kuufikiria lakini ni wakike halafu nikahisi vitu kama hivi inabidi msomaji avipende mwenyewe huo ufundi wa computer nawweza kujaribu jee mkuu unaweza nisaidia veta wanaanza lini hizi course zao niweze kumchukulia form ama chuo chochote kinachotoa hayo mafunzo
Back
Top Bottom