Recent content by Mwanachibhira

  1. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Daktari feki aliyetibu kwa muda wa miaka 10 akamatwa

    Jamaa alikuwa vizuri anapiga kazi na analipwa mishahara,akiwa Ndanda tulikutana pale Ndanda Hospital anapiga kazi ni mtaalam sema hakuhitimisha degree kwa hila za Lecturer mmoja pale Muhimbili.
  2. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Daktari feki aliyetibu kwa muda wa miaka 10 akamatwa

    Jamaa kasoma na uwezo anao,form six div one Iliboru,alikuwa Muhimbili akadisco mwaka wa mwisho kwa kutofautiana na lecturer lakini uwezo anao sema hakuhitimisha Md yake,watu kama hawa ni kuangalia jinsi ya kumsaidia kumaster ili awe mtaalam nzuri hapo baadae.
  3. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
  4. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mbeyaaaaaaa juuuuuuu
  5. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    Huyu kala maharage yanmsumbua.
  6. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Picha: Wasanii wa UKAWA wakieneza ujumbe wa "Mabadiliko" Mwanza

    Mwaka huu ccm ni wapinzani
  7. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel na Ray wazungumzia kurudi kwao CCM - Live on Clouds TV

    Njaa ndo inawasumbua.
  8. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    Haka hakana jipyyaaaa
  9. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne 5 Agosti 2014, Mjadala wa Bunge Maalum la Katiba

    Huyu Nate kaanza kuvuruga
  10. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

    hayo ndo matokeo ya CCM wanampango wa kuwamalza vjana kwn ndo wapinzani wao wakubwa!!! alafu et hakuna kuajliwa kama hujapita JKT ------- what z jkt 4? to kill our present and future generation! mm nakataa jkt kwan sioni faida yake ata kdogo kwn kama swala uzalendo mbona walio pitia jkt ndo...
  11. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Kati ya mke na mume nani muongo zaidi kwa michepuko?

    Jamani hyo dawa kapitsha nani maana najua ufuska co jambo zr! kwn mazoez yapo meng tofaut na ufuska!
  12. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Banda afuta Uchaguzi Malawi, utarudiwa ndani ya siku 90

    Kimsingi mpaka sasa wana JF najiuliza amefikiria nini mpaka kufuta mchakato mzima wa uchaguzi na huku akijua nchi ilikuwa imekisha tumia mamilioni ya shilingi, nafikiri ndo mwanzo wa kuanza kukiuka katiba ya Taifa la Malawi,au ndo anajipanga kuiba?
  13. Mwanachibhira

    JamiiForums Tanzania Ipi top 5 yako ya vyuo vikuu bora unavyovikubali Tanzania?

    Teku teku mzumbe udom dit
Back
Top Bottom