Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

Ona ulivomshamba kupindukia ivi kwa akili yako unadhania mafuta ya elicopta yanagarama!!ndomaana tunaitaji kutoa elimu bule walau mpate kuelimika na hata akiacha kampein akapumzka watz tumeishaamua mabadiliko hayakwepeki.
 
Kuna watu wanajificha nyumba ya screen zao kabla hata hawajakoga wala kujitakasa :dizzy:
 
Ahahahaaa amakweli ukishangaa ya Musa utaona ya filauni walijifanya wanazo wakazimwaga wajanja wakazila na kuzitumia sasa zimeisha wanatembeza bakuli na bado watauza hadi ng'ombe
Chama makini kote duniani ni kukusanya nguvu za wafuasi wake na sio kutumia kodi za wananchi
 
Wewe Wala Sina Shida Nawe Sana Kwani NAJUA HASIRA Zako au CHUKI Zako Kwangu Zimekuja Mara Baada Ya KUNITUMIA PM Zako Za KUNITAKA KIMAPENZI Lakini NIKAKUAMBIA KUWA KWA JINSI SURA YAKO ILIVYO MBAYA KAMA UGOKO WA KIFARU Na Hiyo MIGUU YAKO ILIVYOKONDOENA Na Ilivyo Myembamba Kama KUNI ZA NYONGEZA Siwezi Kuwa Na Wewe KIMAHUSIANO. Tafuta Wengine Dada Siyo Lazima Uwe Na Mimi Na Labda Niseme Tena Publicly Sasa Kuwa SIKUTAKI.
pole mkuu , Watanzania tuwe na tabia ya kupima mental health !!
 
Lowasa kaishiwa taabani kipesa kwa kweli, huku mtaani kwenyewe tulikuwa tunakula hela zake ila siku hz tunapata kidogo mno, bora hao wadosi wampe support ili nasi tunehemeke japo kura ni kwa Magufuri... #hapa kazi tu.
 
kweli january makamba kawachanganya vijana wa ccm mmeanza tweetr mmekuja na huku bt wote huku niwasomi jaribu fb na instagram

huyo mtoa mada siyo Mange kimambi kweli? Kama siyo yeye basi wote wana degree moja ya Sayansi Kimu ...manake wote wanaongea maharage yaliyo chacha. ✌️
 
Acha Propaganda we Gamba….. Makamanda naomba kujua utaratibu wa kuchangia tafadhali
 
Muda Wowote Mchana Huu MATAJIRI Wa KIHINDI Na KIARABU Wameombwa KUKUTANA Na VIONGOZI WAANDAMIZI Wa CHAMA KIMOJA CHA UPINZANI CHENYE KIHEREHERE NA AMBACHO KIMEUNDA UMOJA WAO BATILI Na Wa KINAFIKI Maeneo Ya Kati Ya BAHARI BEACH au MBEZI BEACH Kuweza KUFANYA KIKAO CHA KUSAIDIA KUCHANGIA Pesa Hicho Chama Na Huo UMOJA Wao KWANI MPAKA HIVI SASA ( LEO ) HII Huyo MGOMBEA Wao Na Huo UMOJA WAO UMESHATUMIA ZAIDI Ya Tsh BILIONI 47 Na PESA IMEKATA Na NDIYO MAANA ILI KUTAKA KUFICHA AIBU HII ILIBIDI RATIBA YA HUYO MGOMBEA WAO IBADILISHWE GHAFLA NA WEEKEND HII AWEPO JIJINI DAR ILI WAKATI ANAWADANGANYA WANA DAR ES SALAAM KTK KAMPENI ZAKE HUKU VIONGOZI WENGINE WANATAFUTA PESA Kwani KAMA FEDHA HAZITAPATIKANA KUNA UWEZEKANO HUYO MGOMBEA WAO AKATEMBEA NA MIGUU KUTOKA DAR HADI GEITA KISHA MWANZA ANAPOTAKA KWENDA Pindi Akimaliza KUTEMBEZA BAKULI Dar.

POLENI SANA UJANJA MWINGI KUMBE MBELE KIZA. SIJAWAHI KUTOA TAARIFA HUMU ISIWE 99.9999% NA UKWELI au Hata CHEMBECHEMBE Za UKWELI Na NAJIAMINI 100%. HIYO HELICOPTER YENU SASA MTAJAZA MKOJO BADALA YA MAFUTA ILI IPAE ANGAZI KWANI MIRIJA YENU YOTE YA KUPATA PESA WANAMUME WAMEZIBA ( Wazaramo Wanasema Juu WANAKUDELE Na Chini WANAKRACHI ) Na Zile Nchi Kubwa Mbili WANAOWAFADHILI Germany Na Finland Nao WAMESHAPIGWA Biti La UHAKIKA Na Hamna Sehemu Ya Kukimbilia Sasa Labda Muwaombe Hela MAMA NTILIE, MADEREVA BODABODA Na WAMACHINGA.

Nitawapeni Updates Za Hicho KIKAO Japo Nasikia Wapo Wengine WAMECHOMOA Kwani Wamesema WAMEINGIWA Na MASHAKA KUWA Huyo WANAEMTOLEA MICHANGO KUZUNGUMZA TU HAJUI Na KWAMBA AKIZUNGUMZA Sana Basi Ni Dakika 3 Na Kama AKIZIDISHA Dakika 15 Itabidi Daktari Awepo Karibu Kumpiga Zile Sindano Zake Nne ( 4 ) Za GANZI.

na hii muige mbwa koko ninyi
 
Ndiyo Maana Huwa Nawaambieni Kuwa MKAPA Hakukosea Kuwaiteni " Wapumbavu Na Malofa " Kwani UWEZO Wenu Wa KUFIKIRI Ni Mdogo Mno. Mimi SIJASEMA Hilo TUKIO Lenu La Leo Jioni Nasema Tena NIKIWA Na FULL UHAKIKA Kuwa Sasa Hivi Kuna KIKAO KINAENDELEA Kinachojumuisha Hao Matajiri Wa KIHINDI Na KIARABU Kati Ya Moja Ya Hayo Maeneo Mawili Niliyokutajia. Hivi HUSHANGAI Tu Na HUJIULIZI Kwanini NAJIAMINI Hivi?

Kijana wa IT masaki utakuwa kwenye kikao hebu tuambie kinachojiri hapo otherwise na mimi nijiamini
 
Back
Top Bottom