Ndugu watumishi wa umma,
Tunaendelea kupita katika kipindi cha kheri na shari, Heri ya Mwaka Mpya! Kama inavyoonekana kuna wanaopata ubatizo wa maji na wengine ubatizo wa moto. Ni usawa wa kulimia meno. Tujikaze.
Tuko katikati ya vita vya shetani, ibilisi na zimwi. Kila kundi likishangilia...