mwanaapolo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 256
- 78
Mwenye takwimu sahihi naomba kujuzwa biashara ngapi na gani zimeshindwa 2015/16 na kwa nini tafadhali? Je Tanzania ni nchi rafiki kwa Start-up business? au nikawekeze Rwanda na Kenya? Vipi mikopo inapatikana ki urahisi kutoka kwa taasisi za fedha? Biashara gani zinafanya vizuri, hasa kama una mtaji mdogo?
Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi gani kwa robo ya mwisho wa mwaka?
Akhsante!
Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi gani kwa robo ya mwisho wa mwaka?
Akhsante!