Recent content by Mwana Ntemi

  1. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kizuri kwa kusomea ualimu

    Kwa DAR nenda DUCE soma unachopenda lakini Uticha hapana kbsa
  2. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Serikali/NECTA iangalie hili

    Mpeleke Certificate MZUMBE Ya Accounting
  3. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania UShauri: Kwa ufaulu huu naweza kusoma kozi gani?

    Kasome Law au procurement CBE
  4. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    Kwa sciences neda pharmacy Lakini upande wa business neda coz yoyote
  5. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi nzuri kusoma chuo?

    Achana na Education mara mia fata ndoto zako Ajira bahati ya mtu
  6. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi nzuri kusoma chuo?

    Kasome UCHUMI UDOM chap
  7. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa napoweza kupata vitabu vya social work na community development

    Tembelea kwenye hii link PDF Drive - Search and download PDF files for free. Jipakulie kitabu chochote unachokitaka
  8. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Wakuu nambeni ushauri wenu kwa kijana wangu

    Chuo mbona anapata certificate law, journalism, procurement
  9. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi yenye uafadhali ngazi ya certificate kafaulu masomo ya sanaa

    Coz mbona ziko shanzi sana mkuu ni yeye tu
  10. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya, serikali inaweza kunichagulia chuo?

    Uhasibu, procurement mbona anapata mbona Omba IFM CBE
  11. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu nimpeleke chuo kipi??

    Muulize yeye anapenda kusomea kitu ngani Vyuo kama IFM, CBE, TIA, AIA, MIPANGO, DIT ana anzia cheti mpaka diploma alafu akipenda Anaweza uganisha Degree
  12. Mwana Ntemi

    JamiiForums Tanzania Course ya Bachelor of Business Administration Kwa aliyesoma HGL

    Mara mia uge deal na Accounting Sio BBA hata ukimaliza Kufanya CPA inakurahisishia BBA haijachimba vitu kwa ndani zaidi chukua kimoja wapo kat ya hivi Accounting, procurement,
Back
Top Bottom