Serikali/NECTA iangalie hili

Serikali/NECTA iangalie hili

Special school kusema kweli ni shule bora sana!! Kuna ushindani mkubwa sana baina ya wanafunzi huko na hilo linawasaidia kupanda kitaaluma! Pia hakuna spoon feeding huko kama ilivyo private schools, hilo huwaandaa vizuri kwa masomo ya elimu ya juu ambako pia hakuna spoon feeding!! Ila kama mtu akikosa hiyo nafasi inabidi apatiwe ushauri nasaha na asonge mbele.
Una fikra za kimasikini sana
 
Kwa nini hakuna Combination ya ECA kwenye special school za shule za wasichana?. Kwa kweli inakera na inakatisha tamaa kwa wanafunzi na wazazi. mtoto kapata div.1.7 akiwa na AAA kwenye hesabu Commerce na bookkeeping kapelekwa shule za kawaida wakati wenzake kwenye michepuo tofauti na point za chini wamepelekwa Special school hii si haki.

Mtoto tangu akiwa darasa la saba alikuwa na ndoto za kusoma special school lakini form one hakuchTaguliwa huko nikampa moyo afanye bidii form apate A zote ili achaguliwe kwenda special school na katimiza hilo na alikuwa na ndoto ya kusomea masomo ya ECA ila sasa amepelekwa shule ya kawaida. Tumeangalia matokeo ya shule hiyo kwa miaka 4 nyuma hakuna mwanamfunzi aliyewahi kupata division 1 hata ya mwisho wala kupata alama B ya somo lolote kwenye mchepuo huo. Mtoto kakataa tamaa ya kuendelea na masomo ya kidato cha tano ECA na mzazi hana uwezo wa kumpeleka Private amesusa hataki shule bora awe mjasiriamali . Ameshauriwa kagoma inaumiza kichwa
tanzania hatuna special school kwa sasa
 
Hivi bado kuna shule za vipaji maalum?! Nilidhani iliisha miaka hiyo...
Zipo mkuu; Kilakala, Msalato, Tabora girls, Tabora boys, Kisimiri, Mzumbe, Kibaha, Ilboru
 
Kaeni msolve hiyo ishu,special unaangalia na kombi,alafu shule nyingi mbona wanafanya vizuri somo la ECA muhamishe shule kama mwanza mpeleke ngaza

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Shule maalum ya nn yeye c yupo vzuri anaumudu mchezo akauchezee uko uko shule za kawaida aoneshe uwezo wake pia akuna shidah ata angeenda shule maalum ainafaida yeyote
 
Nwambie akazane akapate div one aweke historia ktk shule hiyo....
 
Back
Top Bottom