Tafsiri yoyote ile unayoijua, mnaamini mambo ya kijinga sana mara uchawi mara satanic yaani ujinga tu. Na makundi ya wafia dini au waamini mambo kama haya wanaongoza kwa umaskini
Unakutana na binti mdogo ila ana shimo la tewa, kitandani fundi na ana pumzi kuliko Fei Toto. Utapata wapi ujasiri wa kumtambulisha au kufunga nae ndoa wakati unajua lolote linaweza kutokea wakati wowote
Mkuu, pesa sio sababu pekee inayopelekea watu kujiunga na jeshi au kupigana Vita. Naamini mataifa ya America na Ulaya wana hela za kutosha kuwalipa Askari wote wa Iran wapindue Serikali yao lakini mimi na wewe tunajua hilo ni gumu kutokea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.