Recent content by mwamuzi wa kesi shahidi

  1. mwamuzi wa kesi shahidi

    Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

    Mkuu hata mimi imenikuta now nina watoto wawili ingawa wapili bado anamiez 4, lakin mwenzangu hataki tuongeze mwingine mbeleni, nasubiri akinipa go ahead nikaongeze nje, mi bado nahitaji 1 au 2 zaid
  2. mwamuzi wa kesi shahidi

    Naweza kukopa shilingi ngapi benki kwa mshahara wa laki 6?

    Umeona mkuu badala ya kwenda bank wampe mwongozo ye anakuja jf kutuuliza sisi
  3. mwamuzi wa kesi shahidi

    Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni

    Mkuu mi mwaka jana niliumwa sikio ghafla nikiwa job, nikasema niende hapo AAR hospt mbagara maana ilikuwa karibu na kazin kwangu, kuonana specialist wa sikio, akanichek akalipuliza na kimashine flan hivi, halaf akasema rudi baada ta wiki, aisee nilipotoka hapo ka nusu saa mbele niliona dunia...
  4. mwamuzi wa kesi shahidi

    Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    Kwann mkuu usimfate pm nawe ukapange folen huko ujaribu bahat yako
  5. mwamuzi wa kesi shahidi

    Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    Mkuu je ukikuta ni bwawa au kisima usije kufungua uzi humu na kuanza kulialia
  6. mwamuzi wa kesi shahidi

    Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    Kwanza yaonekana kama unamajivuno fulani hivi, eti kwanin waniombe mbona mi siwaombi, hizo password si uliwapa mwenyewe ama, ktk mapenzi ya kweli hilo ni jambo la kawaida kusaidiana, ila kama ni fake love basi hapo kuna shida
  7. mwamuzi wa kesi shahidi

    Beno Kakolanya asaini mkataba wa miaka miwili Simba sports club

    Walisema leo ni kishindo, lakin hadi sasa bado hakijalipuka
  8. mwamuzi wa kesi shahidi

    Mchungaji Lusekelo: Chadema walipata kura milioni 6 za urais 2015 hivyo wakiruhusiwa mikutano watahatarisha amani

    Kwahiyo aliitisha press ili aongelee mambo ya kisiasa badala ya kidini, hapo angeongea vise vesa ungasikia kuchanganya siasa na dini
  9. mwamuzi wa kesi shahidi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu kuna wimbo wa black rhino, mpenzi njoo, usijali wanavyoniita mi bishoo
  10. mwamuzi wa kesi shahidi

    Jeffery Samson Mkuki: Msomi wa Chuo Kikuu anayehangaika kijijini bila ajira

    Kwa mtazamo wangu naona kama ye ndo kakosea, kwa mjibu wa maelezo yako kumbe alikuwa na ajira ya kuzanguka mikoan akaamua kuacha ili aje akae na wadogo zake kijijin, kwanin asingewachukua aishi nao mjin ili yeye aendelee kupambana, ila unasema aliacha kazi akarudi kijijin kuwaangalia wadogo zake
  11. mwamuzi wa kesi shahidi

    Kinachomponza Prof. Palamagamba J.A.M.Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Ndo aitwe mpumbavu mbele ya hadhira, kumbuka ana mke na watoto ka siyo wajukuu, then wasikie baba yao ni mpumbavu aliyetolewa jalalani unadhani wanajisikiaje
Back
Top Bottom