Ndo tafsiri ya ujanja kuwahi, Dunia uwanja wa vita, asiyekubali kushindwa sio mshindani zinakuwa proved hapo😁
Au ww hutaki wahenga wapate heshima Yao ya busara nyingi?
Hivi kumbe hekima ilikuwa n hii ..... mzee wangu pia alikuwa akirudi safari atatoa taarifa mapema na akija utashangaa katanguliza vitu vyake, hata kama yeye atakuja jioni hiyohiyo 🤔🤔
Nilikuwaga sielewi mchezo kabisa 😂
Intuition huwa n mfano wa taa kwenye njia ambayo reasoning anapaswa kupita.
Namaanisha intuition ni anguko ikiwa huwezi kuifanyia crossing kama TAL😁
Why??
Sababu Kuna sauti tatu ndani yako ambazo zote zina sound the same (kwa mtu ambaye hajui mambo hayo)
Kwahyo lazima uwe na reasoning kabla...
Jitahidi kufatilia kesi ya TAL mpk unamaliza ushakuwa mwanasheria
Halafu ukifika kwa mahojiano ya Mnyika anavyompopoa Katuga (hakikisha unakuwa na daftari)
.... itakusaidia kumfanya mzee aache ndala mahakamani😁
Ukimchapa swali mzee... Mzee wa kanisa Bar ulifata nn na unakisukari na presha...
Hapa inshu sio majina...
Ila n dharau!!
Mwanaume anaweza pigana kisa 200, hata kama bank Kuna milion 50.
Kuna muda mtu anaamua kupigana sio kwasabb ya kupata au kukosa ila kwasabb ya heshima yake imetikiswa!!
Hii huja automatic bila kufikiria hatari iliyoko mbele
Shida ya ndoa za siku hizi n kuwa ..... siku wife akikufrahisha unatoka nje kusumbua watu na motivation za ndoa n tamu
Kesho yake ukipigwa tukio unajiunga na jamaa zetu kataa Ndoa
Kesho kutwa mkipatana unaanza tena kutoa somo la uvumilivu ndani ya ndoa.
Kiufupi hii post yako Kuna possibility...
Yani anaenda kukopa halafu anayo laki 3 ya kutuma... kweli matatizo siku hizi hayapo serious 😂
Zamani matatizo yetu ilikuwa yakikushika unaenda kukopa ukiwa huna hata 100 mkuu, kesi kama hizi hazikuwepo kabisa
Ukitaka kujua Mungu yupo jibu sahihi wanalo washirikina....
Nguvu ya Mungu ipo dhahiri kwenye dimension zingine nje ya hii yetu
(Na Kuna sababu ya kwann ipo hivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.