Recent content by Mwamboso

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki million 4

    Muuzaji anasema hauzi kwa kuwa ana njaa, anauza sababu haupendi, amenikumbusha "sizitaki mbichi hizi".
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jambo Fikirishi: RC Makonda, unamchezea Rais?

    Clouds na ujanja wao wote wamekwama!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    Viongozi wawe wanachuja Mambo ya kuongea, kwa hili Mh. Makonda kanishangaza Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    Inawezekana Mara nyingine ni kudhani kujenga ukuta, matofali hupangwa tu bila mpangilio, najaribu kufikiria jinsi ya kudhibiti straight joints kwenye kusimamisha tofali itakavyokuwa. Hii itakuwa bonding mpya, ngoja tusubiri application yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za Mahandaki ya fedha kwenye nyumba za ibada&majumba yawatumishi

    Mtu akiambiwa ana chawa kaonekana kwenye nguo zake ndo hujifanya anajipapasa, wakati yeye mwenyewe ajijua ni mchafu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Top 10 most beautiful women soccer players in the world

    Huyo aliye nafasi ya kumi, acheni mungu aitwe mungu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

    Kwanza ukakiri wewe ni mwanasimba, mwisho unasema watu wasije shikana mashati! Bila shaka wewe umeshajitoa kuwa si mwanasimba. Tunashindwa kuendelea hasa kwasababu ya mawazo kama haya, michezo ni biashara, hivyo kama kuna vilabu vingine vyenye nia ya kukaribisha wawekezaji basi muda ndo huu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakala wa majengo nchini (TBA) yatoa ufafanuzi baada ya kupatikana nyufa katika Hosteli za chuo kukuu cha Dar(UDSM)

    Aache ubabaishaji. Muhimu ni wao kutafuta tiba ya tatizo hilo, wahandisi wa mambo ya ujenzi wanajua kuwa settlement hutokea, lkn iwe ni equal settlement, kama itakuwa unequal basi moja ya madhara yake ni hayo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wanasiasa mbalimbali juu ya kujiuzulu ubunge wa Kinondoni, Said Mtulya

    Kulikuwa na haja ya kufanya uhakiki wa vyeti kwa wabunge, hivi hata hili lahitaji akili kubwa!!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

    Mpira anacheza Man City na matokeo twayaona. Wewe endelea kuburudisha, wenzio wanachukua matokeo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Mara nyingine namkumbuka Marehemu Masaburi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kakunda: Binti hatoolewa bila 'leaving certificate' ya form four

    Madhara ya kupenda kusifiwa hayo, Mara nyingine wengine hunyamaza kama akina Mwigulu si kwamba hawana cha kuongea Ila wanatafakari cha kuongea
  13. M

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mbona Rashford hayumo, kulikoni? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakinadada wengi wanapotoka kukata gogo hupoteza kujiamini na kumbukumbu

    Kweli maisha magumu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu waitikia kauli ya Lowassa, waijia juu serikali kuhusu mashehe wa uamsho

    Ana hamu ya kuonana nao Post sent using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom