Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

Nashangaa sana
1. Huyu anakwepa kodi

2. Nikiongozi wa kitaifa ngazi ya mkowa

3. Mkowa wake upepata mapato ya chini kabisa

Haiwezi kuwa sahihi akaachwa,
-anakwepa kulipa kodi
-anakoseha serikali mapato
-hana maadili wala weledi
-haiwezi kuwa mfano bora...hafai

Ilikuifanya serikali kuonekana bora, makini na hainamzaha kwenye kukusanaya kodi, kuhakikisha viongozi wanakuwa na maadili

HAKUNA NAMNA
a) Makonda avuliwe madaraka

b) Makonda afikishwe mahakamani

AMEKUBALI KUWA MALI NIYAKE NA HIVYO LAZIMA AWAJIBIKE LA AWAJIBISHWE MARA MOJA
Mkowa? Mkuu Hii ni ile Lahaja Maarufu yakuitwa Kimakunduchi au Kimtang'ata?
 
Nashangaa sana
1. Huyu anakwepa kodi

2. Nikiongozi wa kitaifa ngazi ya mkowa

3. Mkowa wake upepata mapato ya chini kabisa

Haiwezi kuwa sahihi akaachwa,
-anakwepa kulipa kodi
-anakoseha serikali mapato
-hana maadili wala weledi
-haiwezi kuwa mfano bora...hafai

Ilikuifanya serikali kuonekana bora, makini na hainamzaha kwenye kukusanaya kodi, kuhakikisha viongozi wanakuwa na maadili

HAKUNA NAMNA
a) Makonda avuliwe madaraka

b) Makonda afikishwe mahakamani

AMEKUBALI KUWA MALI NIYAKE NA HIVYO LAZIMA AWAJIBIKE LA AWAJIBISHWE MARA MOJA
Mkowa ndo nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema mtu atalaanika au watu watalaanika si kosa la kupelekea mtu kukamatwa.

Mambo ya laana ni mambo ya kiimani.

Ni lini Tanzania tumeanza kuadhibu watu kwa sababu ya imani zao?

Tuadhibu matendo. Siyo imani.
Watu wameadhibiwa kwa kuota 'ndoto' sembuse kukwepa kodi na kutoa kauli za vitisho! Kauli hizo bora zingetolewa na mwananchi wa kawaida lakini sio Mkuu wa Mkoa ndani ya mkoa wake. Usisahau mamlaka ya R.C!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda ni mpakwa mafuta hawezi akaguswa atakayejaribu kumgusa fagio la chuma litampitia yeye,Makonda atabaki anadunda kama kawaida.

Maneno kama haya yangesemwa na mtu wa ng'ambo ilee,hapo ndipo sheria ya kumuweka mtu lupango kwa saa48 ingetumika ili muhusika aeleze vizuri kile alichokisema alikuwa anamanisha nini lakini kwa vile aliyesema ni Makondo hakuna kitakachotokea kwake.
 
Nashangaa sana
1. Huyu anakwepa kodi

2. Nikiongozi wa kitaifa ngazi ya mkowa

3. Mkowa wake upepata mapato ya chini kabisa

Haiwezi kuwa sahihi akaachwa,
-anakwepa kulipa kodi
-anakoseha serikali mapato
-hana maadili wala weledi
-haiwezi kuwa mfano bora...hafai

Ilikuifanya serikali kuonekana bora, makini na hainamzaha kwenye kukusanaya kodi, kuhakikisha viongozi wanakuwa na maadili

HAKUNA NAMNA
a) Makonda avuliwe madaraka

b) Makonda afikishwe mahakamani

AMEKUBALI KUWA MALI NIYAKE NA HIVYO LAZIMA AWAJIBIKE LA AWAJIBISHWE MARA MOJA
Hana cheti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali mnayoizungumzia ni hii hii ya John Joseph Pombe Maghufuli ndiyo imchukulie hatua au mnazungumzia serikali nyingine?
Sakata la vyeti hakuguswa
Sakata la clouds hakuguswa.
Hili ndiyo aguswe?
Makonda anajua serikali huko juu isivyoweza kusimamia sheria bila go ahead ya mkulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watakuwa waoga tu, waziri wa fedha na mipango Muheshimiwa Mpango kashalipanga, wananchi waeendelee namipango ya kununua
 
Back
Top Bottom