Recent content by Mwambene oscar m.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere: Ukweli juu ya suala la Mkapa na kifo cha Nyerere

    mm naamini kabisa kwamba huyu mzee alihusika kwa kiasi kikubwa, namunga mkono Vicent nyerere pamoja na aliyepost hii thread kwasababu ufisadi mkubwa umefanyika baada tu ya kifo cha baba wa taifa na ndio hata huyu mzee alianza kampani za kujilimbikizia mali. Ndiyo maana anaogopa cdm ikichukua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    pamoja na mapungufu ya rais wangu, na mm nina mtazamo wa kwako, wana wivu kwakua obama haendi nchini kwao, tutake tusitake ktk uchumi wa leo bila marekani bado hatujafanikiwa bado. kilicho muhimu kwangu ni application ya win win principle. pamoja na sifa alizonazo kagame lakini bado historia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania THE FALL OF CHADEMA - Vyombo vya habari vimeanza kususia Siasa za CHADEMA, Jiulizeni!

    hii haitushangazi cc wanacdm, lazima mtu atambue kwamba hivi vyombo vingi vinamilikiwa na mafisadi, hata kama walilibia taifa miaka ya nyuma bado watabaki kuwa mafisadi. kwanza mwanzo walikuwa hawamini na kuzarau kwamba cdm inaweza kuchukua nchi, sasa baada ya kuona dalili za cdm kuchukua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wabunge wa CCM mkoa wa Mbeya

    Ndugu zangu wanajamii forum hasa mnaotoka mkoa wa Mbeya na wale wapenda haki, mimi nawashangaa sana wabunge wa CCM wanaotoka mkoa wa Mbeya, kuna matukio mengi ya kutisha sana yanatokea katika nchi yetu, na mengi ya hayo yamewatokea kwa wenyeji wa mkoa wa mbeya na kibaya zaidi matukio mengine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    pamoja sana kamanda, mungu yu upande wetu, i mean cdm.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA makao makuu: Msimtelekeze Joseph Ludovick Rwekeza mahabusu

    ndugu yangu kuanza lazima utambue kwamba chadema haijachafuka kama unavyofikiria, huyu acha apate stahiki yake ya usaliti wake na atambue kwamba bwana yake mwiguru taratibu anaanza kutoswa na chama chake, chadema hakiwezi kumuwekea dhamana huyu mshenzi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito kwa CHADEMA: Barua yao ya kuhujumu nchi yanaswa!

    KAMA CHADEMA INAWEZA KUPENYEZA WATU SERIKALINI NA SERIKALI ILYOPO MADARAKANI ISIJUE, KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ATATAMBUA KWAMBA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI(ccm) NI DHAIFU KUPINDUKIA HIVYO INATAKIWA KUONDOLEWA MADARAKANI MARA MOJA.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Nitaenda mahakama ya kimataifa kwa ajili ya kufungua kesi kuhusu Rasimu ya Katiba

    hela alizopewa mtikila na rostam aziz hazikuwa za rostam, bali rostam aliiba hela za umma hivyo mtikila hastahili kuzilipa. Rostam ni jizi lililokubuhu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wake Mbowe ahusishwa kuharibu matokeo baraza la mitihani.

    ni walewale waliosema kwamba elimu magharibi ni ukafiri, leo hii wanakumbuka shuka wakati kumekucha, mtalalamika sana. nyakati za jioni wapeleke watoto kwenye elimu dunia badala ya madrasa, mtoto dini tu sio lazima asome kiarabu ambacho hakina umuhimu sana kwa maish YA SASA. AMKENI NDUGU ZANGUNI.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii la mahakama ya kadhi limekaaje?

    hamna chochote mnachodai zaidi ya roho mbaya, mnataka sheria za kukandamiza mama zenu ili wasipate kurithi mali, acheni hicho kitu hao ni mama zenu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii la mahakama ya kadhi limekaaje?

    mkuu hiyo statement yako nimeikubali, hawa jamaa hata mm siwaelewi kabisa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Div 4 ya points 18, naweza jiunga na diploma?

    unasoma hata kozi zingine bila shida.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Live updates Mkutano wa Dr. Slaa Morogoro.

    ni kweli huwezi kuwapenda watanzania wenzako kwakuwa ww ni mkimbizi unayefisadi nchi yetu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumzungumzia Kinana si saizi yangu Dk slaa

    mke wa mtu haibiwi ila anakimbia akiona mume wake hajui shughuli, unaoa huku ukijua ngoma haifanyi kazi unategemea nn, kama na ww uko hivyo mke wako watamchukua wanaojua kumtumia. Dr. slaa ni kidume na aliyepokonywa mke ni walewale walibelali.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumzungumzia Kinana si saizi yangu Dk slaa

    huwezi kuelewa kwakuwa huna akili.
Back
Top Bottom