Recent content by mwambaasilia

  1. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania WARAKA WA NAH'UN-EL SHA'VARI

    Kama maana ni Mungu Muumba wa vyote na Yesu Kristo mwanaye wa pekee, upo sawa
  2. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania UJUMBE MTAKATIFU USIPUUZE

    Ain Soph Aur ndiyo jina la Mungu Muumba wa vyote, na umelipataje hili jina?
  3. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Siku.

    Kulingana na sheria, huwezi gomea ushahidi wa bila kumwona muongeaji?
  4. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika

    Amina. Hatujachelewa, Mungu ni mwema wakati wote
  5. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika

    ndiyo, katika kazi zako uenende katika kumtumikia na kumtii Yeye Mungu
  6. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika

    Amina. Namshukuru Mungu nimeijua njia ya kweli
  7. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika

    Kumtafuta Mungu na ufalme wake, mengine yote ningezidishiwa
  8. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya wasanii Bora wa muda wote WA nyimbo za dini tangia tupate tupate uhuru

    Ambwene Mwasongwe, Japhet Zabroni, Fanuel Sedekia, Wiliam Yilima, Zabron Singers na wimbo wa niondolee majivuno wa danybless minister
  9. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele

    ukijua yakupasayo kutenda ili kuikamilisha haki na usitende, hukumu inakuhusu...
  10. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele

    Na wavaao mavazi yasiyostahili.... Wakike kuvaa kikahaba... Wakiume kuvaa kihuni na kunyoa kiajabuajabu/hovyo
  11. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatutoi Fomu za urais. Hamtaki hameni chama

    wanashupaza shingo.., watavunjika mara....
  12. mwambaasilia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

    Mzazi kukuona uchi utotoni si sawa na ukubwani, tatizo ni wewe na kuna uwezekano madai ya mkeo ni kweli. Jitambue...
  13. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania Kama Kweli Mungu ni Mungu wa Israeli, Kwanini Anaiacha Israeli Inapata Vipondo?

    Taifa teule zamani sio sasa, sasa mteule ni yeyote alimpokea Yesu Kristo na kutenda yapasayo..
  14. mwambaasilia

    JamiiForums Tanzania Mateso ya kuzimu

    Ujumbe maridhawa... Ole wao walioikataa kweli.., watajuta na kusaga meno...Eeh Yesu nitangulie katika njia yangu, hata mwisho Eeh Bwana..
Back
Top Bottom