GE2025 Hatutoi Fomu za urais. Hamtaki hameni chama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na bado!

Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!

Na bado
Huu mwandiko wa darasa la ngapi? Kama huna hata kigezo cha "kujua kusoma na kuandika" basi huna chako ndani na nje ya chama, nchi na serikali.
 
Na bado!

Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!

Na bado
Mwandiko wa la 7 C. Sifa ni kujua kusoma na kuandika yanayosomeka.
 
Na bado!

Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!

Na bado
Naunga mkonyo hoja wajumbe hawaaminiki komred
 
Back
Top Bottom