Kama kuna mtu yupo Uganda. Napenda kusoma hiki chuo online kwa master ya sayansi IT online.
Naomba kujua uzuri wa hiki chuo. Nimeshapata usajili wa chuo. Nataka kuanza nikiwa hapa Tanzania. Nimependa ada zao nzuri pia course zao walizoweka ni nzuri, afforfable sisi wenye uchumi wa chini mil...
Nawashauri ukawa wasimame na Lisu kwa sasa badala ya Edo....sbabu ni nyingi kwanza umri, upambanaji, ushawishi kwa vijana wengi kupambana na mtu kama JPM sio kazi rahisi. JPM amejipambanua vzr kama mpigania haki na kufuta ufisadi Tanzania. Mtu pekee ambaye anaweza kumpa changamoto mh ni Lisu...
Natamani hii nchi ingekuwa imepimwa asilimia 80 tu suala la kukusanya kodi za majengo viwanja n.k wangekusanya hela nyingi sana. Leo hii ardhi ya Tanzania haijapimwa....
Hivi hatuwezi kujiwekea malengo mwaka mzima kila halmashauri ikapima hii ardhi kutumia satellite or GPS technology...
Hawa wabunge tuwafanyie maombi. Kwa sababu haiwezekani wao kila msimu wao tu. Kweli waombe msamaha kesi ilikuwa ya JOHN MNYIKA wao wakadandia.
Please Halima na Bulaya jaribuni kuwa cool sometimes. Mwisho wa siku raia wanawaona nyie mna matatizo kama vile hamkulelewa vizuri.
Ombeni msamaha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.