mwamasangu
Member
- May 12, 2017
- 36
- 28
Hao ndo jembe ccmDu!
Ngeleja kaongea mengi na mjumuisho wake ni kwamba anauzunguka ubuyu...
Ndio..
Moja hataki lawama zitupiwe kipindi chao.
Akubaliani na hoja za upinzani na hapo hapo anataka serikali ianze/kupitia sheria na mikataba ya madini (wakati hicho ndio hoja kuu ya upinzani)
Ajiamini, katawaliwa na woga na hofu, nadhani kuna jambo analijua na anahofu nalo.
Megawatt amejawa na hofuMr. Megawatt, kipindi chake ilikuwa akitokeza hadharani tu, basi ujue kuna mgao au unit zinapanda
Kweli alitunyanyasa huyu William ngeleja! 40 yake ipo Maulana sio Athumani!Mr. Megawatt, kipindi chake ilikuwa akitokeza hadharani tu, basi ujue kuna mgao au unit zinapanda
Sio ccm hii mkuu, labda ishuke ingine kutoka mbinguni na hii iliyopo ishuke kuzimu.Mikataba kumbe inatakiwa kufanyiwa review sasa Serikali inabidi ikimaliza suala la mchanga, hiyo mikataba ya madini inabidi ipelekwe bungeni kufanyiwa review sababu kwa mujibu wa sheria ni miaka mitano lakini adi sasa ni miaka saba tokea sheria ya madini au sera mwaka 2010 ianze kutumika.
Sasa Ngeleja kwa nini kushauri hivyo au anataka kumbeep Presidaa?Sio ccm hii mkuu, labda ishuke ingine kutoka mbinguni na hii iliyopo ishuke kuzimu.
Preach!Mikataba kumbe inatakiwa kufanyiwa review sasa Serikali inabidi ikimaliza suala la mchanga, hiyo mikataba ya madini inabidi ipelekwe bungeni kufanyiwa review sababu kwa mujibu wa sheria ni miaka mitano lakini adi sasa ni miaka saba tokea sheria ya madini au sera mwaka 2010 ianze kutumika.
Wakati wanajenga hoja vizuri akilini wanashtuliwa na picha za pombe pombe wanaanza kuogopa kutumbuliwa hivyo ili wasifanye pombe isionekane mbaya wanaamua kukarabati maneno yao kwa kuwaponda wapinzani hata kama hoja zao zina maana ili tu wanaoipenda pombe ya kilabuni wasijue kwamba pombe waliyouziwa haifai hata kwa bure! Unafki ni mbaya sana.Du!