Recent content by mwalyego

  1. M

    JamiiForums Tanzania Blackberry with mep 0 unlocking service

    kama una blackberry ambayo ina mep 0? Yaani ina zero unlock attempts? Mcheck huyu jamaa 0715353108 au 0756144060 Au Tembelea tovuti yake hapa Kariakoo Online
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    hivi ile huduma ya unlocking online bado ipo? naomba link plz. nina lg nataka ku unlock.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    sure he is real, check post yake in views 7500 ++ pia replies za kutosha. mimi pia nimeisha wahi ku unlock simu yangu online. mimi binafsi simfahamu huyu jamaa wala si mpigii debe lakini nadhibitisha kwa sababu alisha wahi kufanya kazi yangu kwa online.
  4. M

    JamiiForums Tanzania huawei ascend y300 unlock is here!!!!

    Jamani ni meplace order kwenye mtandao wenu, nasubiri unlock code. Huawei ascend y300
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je Ungependa Kuroot Huawei Ascend Y200 Yako Ili Iwe Bora Zaidi ?

    thanks nimepata solution hapa but ni paid one ..::Kariakoo Online Fundi Simu System::..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je Ungependa Kuroot Huawei Ascend Y200 Yako Ili Iwe Bora Zaidi ?

    nataka ku unlock itumie laini zote. nifanyaje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    jaribu ku format kwenye ubuntu au mac osx halafu weka tena kwenye camera.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Upgrade your iphone 3gs into 6.1 now !!!!!!

    Kama baseband imepanda unaweza ku ishusha?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Upgrade your iphone 3gs into 6.1 now !!!!!!

    hapo sawa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Habari fundi, simu yangu iphone 3gs nime upgrade to ios 6.1 tatizo ni kwamba haisomi line na inataka niweke kwenye itunes, nikiweka itunes inasema simcard not supported je ita gharimu bei gani?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unlock simu yako hapo hapo ulipo bila kuja ofini kwangu (remote service)

    Modem una unlock pia??
Back
Top Bottom