Je Ungependa Kuroot Huawei Ascend Y200 Yako Ili Iwe Bora Zaidi ?

utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
865
Points
500
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
865 500
Kama jibu lako ni Hapana ishia hapaaa...................Kama jibu lako ni Ndio........

Kwamba unataka uwezo wa kufuta ma application yakijinga yanojaza memory ya simu lakini ayafututiki,kuongeza processor kutoka 800mhz hadi 1094mhz, kuongeza Ram kwa 256mb kwa kutumia swapper itayo kuwezesha kucheza games kama Dead Trigger bila kugoma, kuongeza memory kwa kutumia link2sd au hata data2sd ili kuweka apps kiboa 100+ na kufanya vitu vingine zaidi kama kuinstall custom rom na pia vinginevyo......

Hutabidi uroot simu kwa kutumia njia hii rahisi sana *NIMEIJARIBU NA IMEFANYA KAZI BILA SHIDA**ONYO*
NI vigumu sana kuaribu hii simu kwa hii njia lakini usipo fuata masharti chochote kinaweza tokea na mimi sita husika na uharibifu wowote kisa ya kutofuata maelekezo.
*Tatizo Litalotokea Ukiroot na Kuweka Custom Recovery*

Simu haito charge wakati ime zimwa bali ita waka moja kwa moja kwenda kwenye ClockWork Mod Recovery Menu.

NJIA YA KWANZA

hii wengi ndio wanasema rahisi lakini sija itumia so kama unajiamini jaribu, inatumia simple application ambayo hiyo application ndio ita root simu.

link hii >>>> [HowTo] One Click Root Huawei Y200NJIA YA PILI

nimeitoa kwenye hii website>>>> to ROOT Huawei Ascend y200 (u8655) - Android Phones - Android Forum - A Community For Android Users and Enthusiasts

1. turn off "fast boot" in "applications" menu in settings

2. turn on "USB debugging" in "Development" in "Applications " in settings

download
http://www.android-h...fghi-signed.zip

and put it on your root SD card directory

download on a WINDOWS computer
http://www.android-h...00_v5.2_int.zip

and unzip file into a new folder

RUN THE INSTALL adb EXE FILE

when u have run the install adb exe , plug in ur phone to computer & a new drive will appear in my computer. install the adb program files choosing either win 7 or XP (2 choices)

HAVE THE Rootv5.2.bat FILE from zip ready to run on computer

turn off phone. remove battery for 5 seconds .

now we will change to custom recovery mode.

replace battery, plug in via usb to computer & hold "volume up" & power button on at same time until logo appears on screen

release up vol & power button & then immediately press "volume down & power button & hold until logo freezes / stays on screen / doesnt progress beyond the logo
(you may to continually hold power button and only swap between vol up & vol down as alternative)

Nyongeza yangu
kwenye hiyo step ya juu itakua rahisi sana ukirudisha battery, bonyeza volume down kwanza alafu power button kwa wakati mmoja kwa sekunde 20 hadi logo ya huawei ina kaa bila kwenda zaidi ndio unaplug usb cable ikirecognize ndio unafuata step ya chini.

run the BAT file from the root zip file u extracted

wait for 10 15 seconds, then press RETURN .... will say stuff, then pause press RETURN again, repeat once more. it should say finished (hopefully) (or similar)

now u have mod recovery mode.

make sure u copied the Superuser-3.0.7-efghi-signed.zip file u downloaded above to the root directory of ur SD card.

turn phone off.

remove battery for 5 - 10 secs.

replace battery.hold Volume up button & power button on for 15 seconds (or until a text menu appears)

navigate menu with vol up & vol down keys , power button selects.
select install zip file from sd card.
select Superuser-3.0.7-efghi-signed.zip .

will run script for very short time & display success message.

now your phone is rooted.

enjoyWEBSITE ZA MUHUMU

My Huawei - Root / Custom-ROMs / Modding

Root / Custom-ROMs / Modding für Huawei Ascend Y200 auf Android-Hilfe.de

Tumia google chrome browser maana zipo katika lugha ya kijerumani.ukitaka overclock cpu,kuinstall custom rom na zaidi izi website zitakusaidia sana.

Neno la kufungia

Ukiwa unatatizo lolote na hii simu ya Huawei Ascend Y200 uliza hapa utapata ufumbuzi.
 
Hong25

Hong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2012
Messages
1,129
Points
1,500
Hong25

Hong25

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2012
1,129 1,500
Eeehh!! I BETTER PRAY BEFORE SIJAANZA HII JOBU..,
 
Hong25

Hong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2012
Messages
1,129
Points
1,500
Hong25

Hong25

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2012
1,129 1,500
Lakini hizi instruction hazipo clear sana maana kuna wakati nashindwa kuelewa simu inakua kwenye state ipi? Connected au disconnected? Au nikishaiconnect kwenye pc regadless ya zima washa toa rudisha battery sitaidisconnect?
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
865
Points
500
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
865 500
ukiwa unainstall recovery ukizima ukatoa battery usiwe umeiconnect
 
FUJISTU

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Messages
245
Points
225
FUJISTU

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2013
245 225
Man this really works 100% nimefanikiwa :A S shade:
 
M

mwalyego

Member
Joined
Jan 24, 2013
Messages
12
Points
0
Age
34
M

mwalyego

Member
Joined Jan 24, 2013
12 0
Kama jibu lako ni Hapana ishia hapaaa...................Kama jibu lako ni Ndio........

Kwamba unataka uwezo wa kufuta ma application yakijinga yanojaza memory ya simu lakini ayafututiki,kuongeza processor kutoka 800mhz hadi 1094mhz, kuongeza Ram kwa 256mb kwa kutumia swapper itayo kuwezesha kucheza games kama Dead Trigger bila kugoma, kuongeza memory kwa kutumia link2sd au hata data2sd ili kuweka apps kiboa 100+ na kufanya vitu vingine zaidi kama kuinstall custom rom na pia vinginevyo......

Hutabidi uroot simu kwa kutumia njia hii rahisi sana *NIMEIJARIBU NA IMEFANYA KAZI BILA SHIDA**ONYO*
NI vigumu sana kuaribu hii simu kwa hii njia lakini usipo fuata masharti chochote kinaweza tokea na mimi sita husika na uharibifu wowote kisa ya kutofuata maelekezo.
*Tatizo Litalotokea Ukiroot na Kuweka Custom Recovery*

Simu haito charge wakati ime zimwa bali ita waka moja kwa moja kwenda kwenye ClockWork Mod Recovery Menu.

NJIA YA KWANZA

hii wengi ndio wanasema rahisi lakini sija itumia so kama unajiamini jaribu, inatumia simple application ambayo hiyo application ndio ita root simu.

link hii >>>> [HowTo] One Click Root Huawei Y200NJIA YA PILI

nimeitoa kwenye hii website>>>> to ROOT Huawei Ascend y200 (u8655) - Android Phones - Android Forum - A Community For Android Users and Enthusiasts

1. turn off "fast boot" in "applications" menu in settings

2. turn on "USB debugging" in "Development" in "Applications " in settings

download
http://www.android-h...fghi-signed.zip

and put it on your root SD card directory

download on a WINDOWS computer
http://www.android-h...00_v5.2_int.zip

and unzip file into a new folder

RUN THE INSTALL adb EXE FILE

when u have run the install adb exe , plug in ur phone to computer & a new drive will appear in my computer. install the adb program files choosing either win 7 or XP (2 choices)

HAVE THE Rootv5.2.bat FILE from zip ready to run on computer

turn off phone. remove battery for 5 seconds .

now we will change to custom recovery mode.

replace battery, plug in via usb to computer & hold "volume up" & power button on at same time until logo appears on screen

release up vol & power button & then immediately press "volume down & power button & hold until logo freezes / stays on screen / doesnt progress beyond the logo
(you may to continually hold power button and only swap between vol up & vol down as alternative)

Nyongeza yangu
kwenye hiyo step ya juu itakua rahisi sana ukirudisha battery, bonyeza volume down kwanza alafu power button kwa wakati mmoja kwa sekunde 20 hadi logo ya huawei ina kaa bila kwenda zaidi ndio unaplug usb cable ikirecognize ndio unafuata step ya chini.

run the BAT file from the root zip file u extracted

wait for 10 15 seconds, then press RETURN .... will say stuff, then pause press RETURN again, repeat once more. it should say finished (hopefully) (or similar)

now u have mod recovery mode.

make sure u copied the Superuser-3.0.7-efghi-signed.zip file u downloaded above to the root directory of ur SD card.

turn phone off.

remove battery for 5 - 10 secs.

replace battery.hold Volume up button & power button on for 15 seconds (or until a text menu appears)

navigate menu with vol up & vol down keys , power button selects.
select install zip file from sd card.
select Superuser-3.0.7-efghi-signed.zip .

will run script for very short time & display success message.

now your phone is rooted.

enjoyWEBSITE ZA MUHUMU

My Huawei - Root / Custom-ROMs / Modding

Root / Custom-ROMs / Modding für Huawei Ascend Y200 auf Android-Hilfe.de

Tumia google chrome browser maana zipo katika lugha ya kijerumani.ukitaka overclock cpu,kuinstall custom rom na zaidi izi website zitakusaidia sana.

Neno la kufungia

Ukiwa unatatizo lolote na hii simu ya Huawei Ascend Y200 uliza hapa utapata ufumbuzi.
nataka ku unlock itumie laini zote. nifanyaje?
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
865
Points
500
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
865 500
nataka ku unlock itumie laini zote. nifanyaje?
hapo sina knowledge sana Maana DC unlocker ya kuunclock ascend y200 bado aijawa cracked. ili iwork bila credits za kununua.

jaribu njia ya FUJISTU
 
FUJISTU

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Messages
245
Points
225
FUJISTU

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2013
245 225
Now unaweza enjoy huawei ascend yako to the fullest, Jaribu kuinstall custom rom na custom kernal
kaka tayari aisee now nimeupgrade to Android 4.0.3 kutoka ile Gingerbread ya 2.3 now ipo mzuka kinoooma
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
865
Points
500
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
865 500
kama unaongelea rom ya No/Name. ile ni actually gingerbread sema imekuwa customized kufanana na ics ..sema naona jamaa Ana design Cm9 ambayo ndio itakuwa true ICS. bado ipo work in progress tutabidi subiri
 
FUJISTU

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Messages
245
Points
225
FUJISTU

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2013
245 225
kama unaongelea rom ya No/Name. ile ni actually gingerbread sema imekuwa customized kufanana na ics ..sema naona jamaa Ana design Cm9 ambayo ndio itakuwa true ICS. bado ipo work in progress tutabidi subiri
kaka umejuaje aiseeh I saw dat publisher No/Name wakat nlipokuwa nafanya installation.....but its cool...naeza kaeka pure ICS?
 
FUJISTU

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Messages
245
Points
225
FUJISTU

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2013
245 225
af hata kwenye settings still inaonyesha 2.3.6
 
Forum statistics

Threads 1,285,671
Members 494,728
Posts 30,869,980
Top