huawei ascend y300 unlock is here!!!!

huawei ascend y300 unlock is here!!!!

Jamani ni meplace order kwenye mtandao wenu, nasubiri unlock code. Huawei ascend y300
 
Mkuu punguza hata bei ya ku unlock msimu huu wa nane nane?
 
jamani mimi nipo malawi sasa nifanyaje ku unlock maana nilininia simu hii nikiwa mbeya.

nenda kyela tuma pesa kwa mpesa au tigo pesa,
Kwenda 0715353108 then tuma imei ya simu yako

Bei ni 20,000
 
ahaa kmbe wee ndo unatuharbia biashara nko tigo makao makuu ntahakikisha unakamatwa na sheria inachukua mkondo wake, namba zko zote nnazo.
 
ahaa kmbe wee ndo unatuharbia biashara nko tigo makao makuu ntahakikisha unakamatwa na sheria inachukua mkondo wake, namba zko zote nnazo.
 
Mkuu ingbeatz hivi kweli huyu ndio jamaa wa kwanza unayemuona anayewaharibia?
 
ahaa kmbe wee ndo unatuharbia biashara nko tigo makao makuu ntahakikisha unakamatwa na sheria inachukua mkondo wake, namba zko zote nnazo.

This is business mkuu,
walio zifunga hizo simu ndio hao wanaouza hizo unlock codes.

Bila shaka hujui how GSM industry works,
there a lot of money making models out of GSM industry.
some of them are
-selling spare parts
-unlocking
-repair
-selling vouchers
-flashing etc.

USHAURI
* badala ya kupoteza muda kunikamata mimi anza na wanaoniuzia unlock codes.
* pia tafuta moja kati ya kazi hizo hapo juu ili ujiongezee kipato kuliko kupoteza muda wa kunikamata mimi.
* andaa proposal nzuri ni jinsi gani utaisaidia kampuni kuongeza mauzo kuliko kupoteza muda for me.
* pia kuna sehemu kibao tu mtandao wenu network haishiki kwanini usitumie muda huo kuishauri kampuni iongeze minara.

Karibu sana namba yangu ni 0715353108 na 0756144060
 
ahaa kmbe wee ndo unatuharbia biashara nko tigo makao makuu ntahakikisha unakamatwa na sheria inachukua mkondo wake, namba zko zote nnazo.

acha ushamba wewe,
una acha watu wanaiba mamilioni kwenye kampuni yenu una hangaika na fundi simu wa elfu ishirini.
jiongeze kijana na usipo kua makini utaishi kuajiriwa maisha yako yote.

wewe unadhani hizo codes yeye anatoa kichwani?
ni biashara hiyo hujui kwamba mnauza vocha na unlock pin.

hata bosi wako atakucheka.
hutaki kampuni iuze unlock codes

teh teh teh
 
ahaa kmbe wee ndo unatuharbia biashara nko tigo makao makuu ntahakikisha unakamatwa na sheria inachukua mkondo wake, namba zko zote nnazo.

Acha mambo ya kizamani,
cheo hakipandi kwa namna hiyo nenda shule kasome.
 
ahaa kmbe wee ndo unatuharbia biashara nko tigo makao makuu ntahakikisha unakamatwa na sheria inachukua mkondo wake, namba zko zote nnazo.

Kama kweli upo uko tigo unaweza niambia lini Huawei ascend y300 zitapatikana tena.Madukani mwenu.
 
Jaman wakuu naihitaji hYO simu ya Huawei Ascend Y300 kama kuna uwezekano wa kuipata tafadhali nijulisheni...0713223141
 
Back
Top Bottom