sirleondavid
JF-Expert Member
- Sep 30, 2012
- 377
- 25
- Thread starter
- #281
Thanks I did it already. and waiting for code.
All done Check pm and your mail as well.
Thanks I did it already. and waiting for code.
Please kama upo dar es salaam, ilete simu yako ofisini kwangu.
Nipo kariakoo mtaa wa uhuru, jirani na akiba commercial bank.
Ofisi yako inaitwaje au ndio wale wa kwenye miamvuli? Mi nina Huawei Ascend Y 200 ya tigo tu na niliambiwa haiwezi kuwa unlocked.
inawezeka bei ni 20,000/= hauna hata haja ya kuja ofisini kwangu.
just place order hapa ..::Kariakoo Online Fundi Simu System::.. then unatuma 20,000/=
baada ya 24hrs unapata unlock code then your done.
or call on 0715353108
Yaani nikupe hela kwanza then nisubiri 24 hours! Do i know you? How safe is this? I cant do that. Taja jina la ofisi yako tutakuja lkn njia hii nyingine ni ya KITAPELI kidogo!
Ok, jina la office ni Kariakoo Online.
website ni .::Kariakoo::.
phone 0715353108 or 0756144060
email " mwamalekela@gmail.com
location : kariakoo mtaa wa uhuru na aggrey opposite na shule ya msingi uhuru.
utaona bango limeandikwa kariakoo online.
karibu sana.
lakini nimeisha unlock simu kibao tu online kupitia site yangu.
so hakuna utapeli wowote hapo.
sure he is real,
check post yake in views 7500 ++
pia replies za kutosha.
mimi pia nimeisha wahi ku unlock simu yangu online.
mimi binafsi simfahamu huyu jamaa wala si mpigii debe lakini nadhibitisha kwa sababu alisha wahi kufanya kazi yangu kwa online.
thanks for best explanation mwalyego,
i owe you an offer in my office.
kumbe ukicomment vizur mnatoa offer?
namimi naomba offer pia.
bongo hakishindikani kitu mkuuuu mie kwa buku 17 tu yaan hata dk 5 hazikuisha wakaifyatua sasa hivi najidai kuanzia tigo mpaka zantelOfisi yako inaitwaje au ndio wale wa kwenye miamvuli? Mi nina Huawei Ascend Y 200 ya tigo tu na niliambiwa haiwezi kuwa unlocked.
Nina samsung galaxy s3 mini,vipi ntaiunlock? Nilimpelekea fundi akaniambia ikae kama siku 4 hivi lakini hakuiweza
Niko na tablet ya dell model ni M01M haisapoti kwenye network ya hapa tanzania nahitaji kuanlock ili iweze kutumia mitandao ya huku
Habari yako fundi,fundi nina nokia model 110 kwenye menyu ilokuwa na internet zamani kwa sasa kuna ka gemu tu ndo kamo pale sa sijui utanisaidiaje ili irudi ka zamani ila niko mbali sana na dar
Hiyo ni hadi uje nayo ofisini, siwezi kuifanya remotely