Hakuna hoja hapo, umejaa chuki tu na kuchonganisha, kwani kukanyaga hayo mafuta Imeanzia moshi mbona watu kibao wamekanyaga hayo mafuta na hajapata madhara na wanatoa ushuhuda kwamba wabarikiwa,tunawaelisha kwamba hiyo ni ajali kama zilivyo ajali zingine hutaki kuelewa, wangikanya mafuta halafu...
Ni kweli inaumiza sana,lakini RC kaongea ukweli tuache mihemuko, tupunguze chuki haya mambo yanatokea Nigeria, South Africa n.k mambo ya iman na Uhuru wa watu wa kuabudu uheshimike
Siii walisema hii inchi tajiri, mbona mwaanza kulalama tena!!! Swalamaaa huko! Inchi hii tajiri bwana,Nyerere Hydroelectric power bado, standard Gauge bado uwiiiii!! Tafadhali jamen huu ut tusijejetukauana buree
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.