Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Nafikiri ni makuruhu na sio haram
Nenda Kilindi kakusanye mzigo wa tumbaku la ugoro hela yote! after 2months utauza kila mgomba sh70k wakati wewe umenunua kwa sh30k. Hii ni biashara nzuri sana shk wangu na inalipa zaidi ikiwa utaprocess mwenyewe ugoro na kuuza mombasa,zanzibar na dar! Habari ya dini weka kando kidogo coz mi mwenyewe msuni hapa kidevu ka beberu lakini natamba na hii kitu na siachi mpaka siku ya kiama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazo zuri. Ikiwa utapata ardhi yenye thamani hiyo changamkia haraka. Kitu hupaswi kufanya kwa sasa ni kuanzisha biashara ambayo itakubidi ugawe wakati wako baina ya masomo na biashara. Na sula la kumwamini mtu asimamie.... ni sawa na kutia mkono gizani.

Ikiwa huna kabisa la kufanya weka kwenye Fixed Account deposit, huko hutaweza kutoa hata senti mpaka muda ufike.
Uamuzi wowote utaochukua, ninakutakia kila la heri.
Ni kweli kabisa biashara bila ya usimamizi wa karibu inasumbua maliza masomo yako, then anza biashara
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeingia mtaani nimejipiga piga nikapambanana nikapata hela milioni nne nilikuwa naomba wazo naweza nikafanya biashara gani mana nilitaman sana kufanya biashara ya kusafiri ila naomba wazo ndugu zangu ni biashara ipi ntatoka haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bila kueleza ulipo no vigumu kushauriwa

eleza pia kama uliwahi kuwa na passion na biashara flani ili upewe abc kuhusu hio kitu

4million kama uko Dar unarudisha 2% ya hio hela kama faida!!

tulia utafakari
 
Nikikupa fursa utanipa nini?maana naweza nikakupa bonge la fursa then ukaishia kupiga hela mkuu mi nikabak jf tunapiga tunapoteza mda na watu wangu kina Mshana Jr na kina Rebeca 83
Maana wazo ni sehem ya mtaji mkuu!
Toa dau uone kama wazo hupati!
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeingia mtaani nimejipiga piga nikapambanana nikapata hela milioni nne nilikuwa naomba wazo naweza nikafanya biashara gani mana nilitaman sana kufanya biashara ya kusafiri ila naomba wazo ndugu zangu ni biashara ipi ntatoka haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
Taja biashara ambazo unafikiria wewe
Au
Taja location Ili kuleta urahis Kwa washaur unaweza ambiwa uza Feni(mapangaboi) njombe ukaishia Kula loss
Pia unaweza search thread kibao humu au Google mfano biashara y mtaji WA 4m acha space mbele andika Jamii forums utazisoma utapata kitu. Asante
 
Nikikupa fursa utanipa nini?maana naweza nikakupa bonge la fursa then ukaishia kupiga hela mkuu mi nikabak jf nahangaika na kina mshana na kina Rebecca!
Maana wazo ni sehem ya mtaji mkuu!
Boss msaidie usiwaze Sana malipo akifanikiwa u never know
 
Mimi ndio ningekua na hiyo hela m1 ningeiweka benki,m1ningepanga fremu,inayobaki ningeenda wilaya ya kilombero Kuna Kijiji kinaitwa mbingu ningenunua ndizi nakuja kuziuza dar maana kule mkungu wa mzuzu unauzwa mpaka 3000tsh.
 
Boss msaidie usiwaze Sana malipo akifanikiwa u never know
Mkuu tutampa ila sasa wazo la biashara lazima likutane pia na mtu ambaye atapatwa uchungu nalo na yuko tayar kulibeba,anaweza kuwa yuko willing kubeba pesa mkononi lakin wazo lenyewe akalitelekeza njian na asilitumie ipasavyo
 
Kama upo dar halafu so Bishoo tafuta Bajaji used ya ukweli tafuta root iliyochangamka endesha mwenyewe Kuwa serious amka Mapema utapiga hela Kama so chapombe,mademu,mzee WA mikeka and the like hela inarudi within 4 month unaanza Kula Faida ukitaka unaweza nunua Mpya after miez 6/7 ukilaza chini ya 900k per month ukitoa takataka zote za matumizi jitafakari Sana.
 
Mkuu tutampa ila sasa wazo la biashara lazima likutane pia na mtu ambaye atapatwa uchungu nalo na yuko tayar kulibeba,anaweza kuwa yuko willing kubeba pesa mkononi lakin wazo lenyewe akalitelekeza njian na asilitumie ipasavyo
Kweli mkuu unajua implementation ndo cha msingi
 
Back
Top Bottom