Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

Mimi kwangu kalenda imenifelisha mara kadhaaa ingawa nilikuwa makini sana kufuatilia siku za hatari na siku salama.ukitumia kalenda wasiwasi haukuishi.

Maana sio mwaka mzima mwanamke atadumu katika mzunguko uleule,stress,ugonjwa,safari nk zinaweza kuchangia mvurugiko wa hedhi.sasa ukijichanganya kidogo tu Mimba.
 
Back
Top Bottom