Recent content by MwalimuZawadi

  1. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Shem alioteshwa je kuna ukweli?

    Kumbe Mungu wa.com hana principles. Basi huyo sio Mungu tena ni kitu kingine
  2. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Na hii vipi unaionaje hii picha? Lete maneno yako

    "Only Do What Your Heart Tells You"
  3. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

    Mpaka upate shemeji wa kueleweka miaka hii, andaa albamu ya hizo bizinesi kadi. La sivyo utakuwa na kesi nyingi sana za kusimamia mahakamani kwa gharama zako
  4. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Ruksa kuoa wanawake hata kumi

    Omba uraia Kenya, itakuwa short cut
  5. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Simuelewi wifi yangu

    Labda amemimbwa au anaumwa
  6. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Funguka funguka:Taja Kero za MAHUSIANO unazokutana nazo MSIMU WA SIKUKUU.

    Jana nilienjoy sana. Leo wapi sasa?
  7. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani tendo la ndoa lifanywe baada ya muda gani mke akijifungua salama?

    Basi watoto wengi wangekuwa mifupa mitupu
  8. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Njia wazitumia wanawake kutupiga mizinga.

    6. Nauguliwa/nimefiwa
  9. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa ndani Mwizi, Namfanyaje?

    Usiajiri tena mtoto kufanya kazi katika mazingira hatarishi
  10. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Mkapa huwa unatafuta nini Karagwe, Kagera?

    anakagua mipaka ya nchi kwa niaba ya ..
  11. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya BASI, LORI, NOAH, HIACE na PIKIPIKI.

    Inatisha
  12. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

    Unawaonea bure, wako kazini
  13. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania Mchina ampiga diwani makofi mahakamani mbele ya hakimu

    Kwa uzembe wa kujitawala tulionao, kuna dalili makofi yakapanda ngazi toka kwa diwani, mbunge, .... Kuna makundi 'yanapigwa makofi' sana tena kila siku kwenye jamii ya Watanzania, but who cares?
  14. MwalimuZawadi

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr. Francis

    Kumjengea CV mwanafunzi wangu
Back
Top Bottom