Shem alioteshwa je kuna ukweli?

Shem alioteshwa je kuna ukweli?

Hayo mambo ya ndoto nakumbuka nlimuota mkaka mmoja hivi, yani niliota tunakiss , halafu wala sikuwa na mazoea na yule kaka, kesho yake nipo lecture yule kaka akaja kukaa karibu na mimi....duh, nilihama nafasi mbona.
 
Unajua Bora Mungu Angeweka Wachawi,wanzinzi,matapeli,waongo,wapumbv,yaani Wote Weny Tabia Chafu WANGEKUWA NA MJI WAO CPAT PICHA INGEKUWAJE?
 
EPORA mwambie rafiki yako au kama ni wewe hashukuru MUNGU amejua kwamba hyo jamaa hamfai na asikubali kuolewa na hyo jamaa kisa eti anaonewa huruma.njia rahc asiwaze kwanin ameachwa bali afurahie namna anavyompenda jamaa hii itasaidia kupunguza maumivu na atakuwa huru
 
Huyo rafiki yako naye kusoma hajui hata picha haoni?
 
Waambie mungu Adhihakiwi...ebu wamwondoe mungu kwenye huu uzinZ waoo
 
Jaman Mpaka Shetan Anaogopa! Huyo Atakuwa Jini Kamwotexa!Tena Had Sms Anafowad C Mchezo?

umeonae mkuu eeh!mwenyewe anajua kwamba jamaa si mwaminifu na wala haina tatizo na kwa sasa yuko poa na hata mchungaji alishamwambia
 
Hayo mambo ya ndoto nakumbuka nlimuota mkaka mmoja hivi, yani niliota tunakiss , halafu wala sikuwa na mazoea na yule kaka, kesho yake nipo lecture yule kaka akaja kukaa karibu na mimi....duh, nilihama nafasi mbona.
Ilikuwa ndoto tu, ungeendelea kukaa nae wala asingefanya chochote
 
Kumbe Mungu wa.com hana principles. Basi huyo sio Mungu tena ni kitu kingine
 
EPORA mwambie rafiki yako au kama ni wewe hashukuru MUNGU amejua kwamba hyo jamaa hamfai na asikubali kuolewa na hyo jamaa kisa eti anaonewa huruma.njia rahc asiwaze kwanin ameachwa bali afurahie namna anavyompenda jamaa hii itasaidia kupunguza maumivu na atakuwa huru

Sasa kuna faida gani kumpenda mtu asiemwaminifu?mtu mmetoka mbali,mmesaidiana mwisho wa siku ndo anadai Mungu?hivi kisa cha kupata laana kwa kizazi chake ni nini?
 
hizi story za wapendwa hizi. Kuna mmoja alisema kaoteshwa hatakiwi kukaa room moja na room mate wake na akahama kweli.
 
Mkuu hata sasa Mungu anaongea kwa njia mbalimbali lakini si uso kwa uso kama alivyofanya kwa Musa ila inahitaji imani na maisha ya kumcha Bwana.
....

Mkuu umekutana na kesi kama hizi nyingi ukafanyaje?tupe experience yako tufunguke wengine
 
hizi story za wapendwa hizi. Kuna mmoja alisema kaoteshwa hatakiwi kukaa room moja na room mate wake na akahama kweli.

Weee kweli akahama chumba?basi mapepo afu wanakujajuta baadae
 
huyo alikuwa anatafuta tu namna ya kumuacha huyo dada! hakuna cha ndoto wala njozi hapo,
 
Jamani jamani! Siku ya hukumu watu tuna mengi ya kujibu! Wapendwa wa siku hizi nafsi ya mtu ikiwaza, inakuwa ndo Mungu kasema
 
Ilikuwa ndoto tu, ungeendelea kukaa nae wala asingefanya chochote

Nilikuwa najiuliza sana, kwa nini nimemuota? Tena sina mazoea nae, halafu kwa nini alikuja kukaa karibu na mimi siku hiyo?
Nikaona labda shetani ananatega, nilihama nafasi ili kuepusha fitna ya nafsi...manake akili ilikuwa inanambia nimsimulie...na ninavyowajua wanaume angekamata fursa.
 
Back
Top Bottom