Recent content by mwalimu wa hesabu

  1. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lajibu tuhuma za vyeti feki

    basi sawa muda utaongea mtakavyanza kuongea lugha tofauti tofauti kama wajenzi wa mnara wa babeli. :p:p:p:D:D
  2. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

    wafanyakazi si wananchi?
  3. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe: Marufuku TV na Radio kusoma habari za magazetini kwa ujumla wake

    mmmmmh kazi ipo maana tunapoelekea tutaambiwa hakuna kusikiliza redio na kutazama tv asubuhi ili tufanye kazi. Nchi ya viwonder hii :):):):):):):D:D:D
  4. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Ninunue kipi gari au nijenge nyumba?

    Kwa maoni yangu na ushauri inategemea lengo la kununua gari ni nini? Unaweza nunua gari kwanza ikiwa litakuwa ni ''Asset'' kwa maana ya kuwa itakuwa inakuingizia kipato utakachotumia kujenga. Lakini kama litakuwa ni ''Liability'' kwa maana ya kwamba haliingizi kipato zaidi ya kudraw pesa kutoka...
  5. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Walimu Mei Mosi na T-shirt za mwaka jana

    Habari wanajamii forum wenzangu, Kuna message nimepokea kuwa katika maadhimisho ya Mei Mosi mwaka huu 2017 waalimu tunaarifiwa kuwa tuvae t-shirt/fulana za mwaka jana kwa kuwa CWT imetumia pesa za maandalizi ya sikukuu hii ya wafanyakazi kununuliwa magari ya makatibu wa CWT wilaya. Je taarifa...
  6. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Siku tumbo la kuhara liliponikamata nikiwa safarini Kahama - Dar

    :p:p:p pole xana mkuu, mlakini kuna la kujifunza hapa lazima kuwa na despline pale unapokuwa safarini na kubwa zaidi ya yote ni kumuomba Mwenyezi Mungu ufike salama bila majanga kama haya
  7. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    hawa walikuwa na kibali cha kuandamana? anyway nadhani wameisoma namba vya kutosha sasa wameamua kuja kitaa, movie zao zenyewe hazivutii then wanataka watulazimishe kuangalia.
  8. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    R.I.P MAAFANDE WETU:eek::eek:
  9. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    mmmmmmmmmmmh
  10. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Radio Tanzania (RTD) mnatatizo gani?

    Hakuna anayejali hata kidogo as long as wao wanatekelea maagizo ya mkuu wa kaya. wao wanasubiri mwisho wa mwezi kujongea kwenye ATM tu kuchungulia kama kuna chochote kitu lakini suala la ufanisi is non of their business.
  11. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Hoja kumhusu Makonda: Wabunge wa CCM 'waanza kupangwa', ikilazimu Caucus kufanyika

    Mhudumuongeza popcorn tafadhali, movie bado inaendelea
  12. mwalimu wa hesabu

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwendokasi yagongana

    Pole xana kwa majeruhi wote, pamoja na kwamba ni mabasi ya mwendokasi madereva wanatakiwa kuchukuwa tahadhari ya kutosha muda wote. Asanteni kwa taarifa
Back
Top Bottom