Radio Tanzania (RTD) mnatatizo gani?

Radio Tanzania (RTD) mnatatizo gani?

Sidhani kama kuna upuuzi hapo hata ukiita
Tbc bado inabaki kua na maana ileile ni radio taifa

Sasa kama hakuna matatizo kuiita hivyo unadhani hayo mabadiliko ya kutoka RTD kuja TBC Taifa yalikuwa na maana gani labda? Mkuu nilidhani baada ya kukukosoa hapo basi ' ungejiongeza ' ili ukirudi uje na jibu la kimakini zaidi lakini bahati mbaya sana umekuja na jibu lako la hovyo hovyo ambalo pengine linaashiria pia jinsi gani na Wewe inawezekana ukawa ni wa hovyo hovyo vile vile.
 
Hakuna anayejali hata kidogo as long as wao wanatekelea maagizo ya mkuu wa kaya.
wao wanasubiri mwisho wa mwezi kujongea kwenye ATM tu kuchungulia kama kuna chochote kitu lakini suala la ufanisi is non of their business.
 
RTD nawakumbuka na wimbo five o'clock in the morning whatch gonna be na ulikua unapigwa alfajiri kabla ya kukurupuka kwenda shule..
 
Kwa Moshi kuna tatizo kubwa sana la kiufundi
Ambalo wahusika wanalishughulikia ,labda ijumaa jioni unaweza kuipata vizuri kama.spare iliyo agizwa itafaa
 
TBC iwe tv au radio zote zimepitwa na wakati! Haiwezekani ina miaka zaidi ya 60 watangazaji wale wale!!
 
TBC iwe tv au radio zote zimepitwa na wakati! Haiwezekani ina miaka zaidi ya 60 watangazaji wale wale!!
 
Back
Top Bottom