Recent content by Mwalimu S

  1. M

    Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

    well understanding...! karibu Mombasa
  2. M

    Ushauri: Nimemkuta mume wangu na binti wa jirani nyumbani kwangu

    Binti yangu Fransiska, Nimesoma kwa makini ujumbe wako, kitu ambacho nimekiona mara moja ni hili tatizo la gari kuzimika ghafla. Kwanini uendeshe gari na baada ya muda mfupi lizime? Hapa kuna matatizo kadha wa kadha ambayo yanaweza kuwa chanzo. Inawezekana plag mbovu au uchafu umeingia kwenye...
  3. M

    Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

    Mathematics wataka unipige msasa wa language?
  4. M

    Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

    Mjomba lugha mbona nyeupe sana au schools ulzopita ni tia maji tia maji
  5. M

    Ushauri: Nimemkuta mume wangu na binti wa jirani nyumbani kwangu

    Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu anaangalia TV. Sikufika mbali gari ghafla likazima, nikalazimika kutembea kwa miguu kurudi nyumbani nikamwambie mume wangu anisaidie.Nilipofika nyumbani...
  6. M

    Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

    Salam a friend need advice..plz ..anasema he married a Woman whom already have kids and he love both of them...the kids and their mum but the problem is these kids hawana adabu kabisa...kama.kuna bint ye aja kuchelewa na akimuuliza usiku huu watoka api mtoto wakike mama yuwakasirika na mtoto nae...
  7. M

    Very tough: Kama ni wewe unachomokaje kwenye mtego huu

    ni mambo yanayoweza kutokea mkuu
  8. M

    Very tough: Kama ni wewe unachomokaje kwenye mtego huu

    House girl alitandika kitanda cha bosi wake kama sehemu ya jukumu lake la kila siku. Alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema naweza kufa bure bila ya kulalia kitanda kama hiki akasema ngoja nijaribu kulala walau kidogo, akavua nguo zote akaziweka chini akabaki na gagulo...
  9. M

    Tetesi: Rais Magufuli 'kuutumbua' Mwenge wa Uhuru

    Atumbue hakuna namna lakin mauchawi ya nchi sijajua waasisi wata lipokeaje
  10. M

    Mpenzi wangu anataka niwe namuingilia kinyume na maumbile yake

    Acheni hizo kuna sunna ya kufanya mapenzi kinyume na njia ya kisharia?
  11. M

    Ndoa imekuwa biashara wakati hamna bikra

    wakati huu ni wakuwa muwazi tu..kama biashara haijafilisika..mahar kubwa ndoa inakua tia maji tia maji
  12. M

    Ndoa imekuwa biashara wakati hamna bikra

    kisha wanalalamika hawapati wa kuwaoa
  13. M

    Ndoa imekuwa biashara wakati hamna bikra

    Kitambo men married women who were virgins and the dowry they gave was yams, honey and some goats. In 2016, a girl broke her virginity at 12yrs, and you are her 47th boyfriend. Her parents asks for 2 million as dowry. Kwani wanauza experience......??? huu ujinga
  14. M

    Wanawake: Kama unataka kuolewa badilika

    Hahahaaa... Hatukatai kuolewa ni haki yako, lakini jiangalie hata staha yako, wewe utakua ni mke gani ndani ya ndoa jamani, toka uzaliwe hukumbuki kanga wala sketi ulivaa lini na kama ulivaa kanga basi ni style ya kanga moja. Duh! Mtoto wa kike unaishi kama msela we na viduku kutwa kucha...
Back
Top Bottom