Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

Salam a friend need advice..plz
..anasema he married a Woman
whom already have kids and he love
both of them...the kids and their
mum but the problem is these kids
hawana adabu kabisa...kama.kuna
bint ye aja kuchelewa na akimuuliza
usiku huu watoka api mtoto wakike
mama yuwakasirika na mtoto nae
yuwamjibu your not my dad ....you
cant tell me anything I can do
whatever I want na pia wale wadogo
zake pia kama kumetokea mshkil
akijaribu wakanya wanaamtusi cha
ajabu pia mama hawakatazi ...hivi
amekua hana say pale ndani
...nastaki kupeana talaka je
nifanyaje?
Kwa nini usingeandika lugha moja unayoielewa vizuri? Huu mchanganyiko unachanganya kiasi kwamba maana inabidi niitafute kwa darubini.
 
Salam a friend need advice..plz
..anasema he married a Woman
whom already have kids and he love
both of them...the kids and their
mum but the problem is these kids
hawana adabu kabisa...kama.kuna
bint ye aja kuchelewa na akimuuliza
usiku huu watoka api mtoto wakike
mama yuwakasirika na mtoto nae
yuwamjibu your not my dad ....you
cant tell me anything I can do
whatever I want na pia wale wadogo
zake pia kama kumetokea mshkil
akijaribu wakanya wanaamtusi cha
ajabu pia mama hawakatazi ...hivi
amekua hana say pale ndani
...nastaki kupeana talaka je
nifanyaje?
NA MAMA YAO NDO YUKO HIVYO LOL
 
mtoa mada ni MKENYA, nimeishi kwao na nawajua vizuri, limbukeni wa lugha za watu hupenda kuongea lugha za mataifa mengine hasa kiswahili na kingereza huku lugha yao wanaificha hata wakiwa nchini kwao mbaya zaidi uwaambie unatokea Tanzania hapo kila wakikuona wanavojitia wajuvi wa kiswahili kumbe anaongea KISWAKIKENYA sasa apo kwenye #yuwaja ipo lugha ipi? KENYA mbadilike mpende lugha yenu,.
 
Majanga haya, kunawakati nilikwenda nchi moja ya Europe kwa safari fupi, mmoja wa marafiki zangu kujua ninakwenda huko akanipa ka-mzigo kwa mdogo wao wa mwisho wa kiume anaesoma huko, nilipewa na namba za simu. Basi nilipofika nilipiga simu yule kijana alikuja kwenye hoteli niliyofikia akachukua mzigo, kwa kweli alifurahi sana, aliona kama amekutana na dada yake. Aliniambia nisiondoke bila kufika kwake.

Basi siku niliyofika huko, kijana anatafuta karatasi wenyewe wanasema, ameoa mama mwenye mabinti watatu wakubwa tu. Basi kale ka binti kadogo kalikuwa kama 16yrs hivi kamekuja sebuleni, ameina mbele ya TV anaangalia CD zake, gauni alilovaa fupi huku nyumba lazi yote iko nje, yule kijana akainama chini. Mimi nikayeyusha kama sijaona vile, nikaanza kumpa story za majirani wa kwao.

My take: katika kutafuta maisha vijana wanapitia vingi sana.
 
mtoa mada ni MKENYA, nimeishi kwao na nawajua vizuri, limbukeni wa lugha za watu hupenda kuongea lugha za mataifa mengine hasa kiswahili na kingereza huku lugha yao wanaificha hata wakiwa nchini kwao mbaya zaidi uwaambie unatokea Tanzania hapo kila wakikuona wanavojitia wajuvi wa kiswahili kumbe anaongea KISWAKIKENYA sasa apo kwenye #yuwaja ipo lugha ipi? KENYA mbadilike mpende lugha yenu,.
 
mpe pole, ndo alishapenda hivyoo hamna namna ingine
 
Akili kwa mkichwa fanya kitu moyo unapenda usinge external ikupush
 
mtoa mada ni MKENYA, nimeishi kwao na nawajua vizuri, limbukeni wa lugha za watu hupenda kuongea lugha za mataifa mengine hasa kiswahili na kingereza huku lugha yao wanaificha hata wakiwa nchini kwao mbaya zaidi uwaambie unatokea Tanzania hapo kila wakikuona wanavojitia wajuvi wa kiswahili kumbe anaongea KISWAKIKENYA sasa apo kwenye #yuwaja ipo lugha ipi? KENYA mbadilike mpende lugha yenu,.
well understanding...! karibu Mombasa
 
Aliyemuoa mwenzake hapo ni nani?

Kama mwanaume unashindwa kuisimamia nyumba yako ulikimbilia kuoa ili iweje?
Hao watoto kama wameshindwa kukuheshimu waondoke mara moja waende kuishi na baba yao au la......
 
Mjomba lugha mbona nyeupe sana au schools ulzopita ni tia maji tia maji
Makosa kibao Harafu unasema lugha inaeleweka,natena unajiita mwalimu,labda walimu uchwara,a friend need advice=a friend needs Advice,a woman whom=a woman who,He love both of them=he loves both of them
 
hii lugha waachie wenyewe mkuu duu ndiyo maana magu ni mkuu wa nchi na ana PhD ila lugha inasumbua ungeandika tuu kwa lugha ya mama au ndiyo bit kungolea madem jf maana wanaume nyinyi wa Dar ndiyo gear zenu
Hamjangundua mtoa mada mkenya ata ivo amejitahidi kueleza kwa kiswahili mpongezeni
 
Back
Top Bottom