Recent content by mwakipagala

  1. mwakipagala

    JamiiForums Tanzania Dr.Kigwangalla: Nawashukuru kwa kunieleza ukweli mnapoona maneno yangu ya ukakasi au yanawakwaza, hakuna mkamilifu

    Amemuogopa mange huyo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mwakipagala

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Daudi bashite kazi unayo Kwa hili huponi
  3. mwakipagala

    JamiiForums Tanzania Mkalimani aliyetafsiri visivyo matamshi ya mtalii afikishwa mahakamani Tanzania

    Mzahamzaha mwishoe hutumbua usaha,alidhania ni sifa sasa imegeuka upande wake.
  4. mwakipagala

    JamiiForums Tanzania Makonda kamtaja Chid Mapenzi, huyu ni nani? Tupeni file!

    Msanii wa bongo fleva
  5. mwakipagala

    JamiiForums Tanzania Castle Lager imepanda bei au mimi ndo nimepandishiwa bei?

    Arusha tuna bia kipenzi cha watu inaitwa kiriku 1500 tu,castle imepanda bei karibia sehemu nyingi sana.
  6. mwakipagala

    JamiiForums Tanzania Hii ya Juma Pinto Inatisha

    Vita ya madawa bado ngumu sana
  7. mwakipagala

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watuhumiwa hutoka nduki wakiachiwa huru Mahakamani au Central Police?

    Hata Mimi imeshanitokea hiyo niliambiwa ukiachiwa huru tu kimbia na upotee eneo la mahakama unaweza kufunguliwa kesi upya,siku ya hukumu niliacha Gari yangu mbali na mahakama nilivyoachiwa tu nduki mpaka kwenye Gari yangu.
Back
Top Bottom