Recent content by Mwakilishi

 1. M

  Mrembo Miss pwani amzimia Mheshimiwa Sugu

  Jamani ee huyu dada Miss Pwani kaulizwa swali, kajibu... sasa haya mengine ya ooh mbaya ana sura kama nini? Kama hujaipenda sura yake hilo siyo tatizo lake ni lako wewe, tuwe na staha, let's not stoop this low...no wonder someone wisely said beauty lies in the eyes of the beholder. Vilevile...
 2. M

  Nchi za magharibi zimefurahi Dr Slaa kushindwa

  Gurudumu, Wenzetu balozi zao zinawasikiliza raia wao na kujaribu kuwasaidia iwezekanavyo siyo kwenye uwekezaji tu, hata raia wao wakikamatwa kwa kuvunja sheria ugenini balozi zao bado zinajitokeza kuwatetea na kuwaombea waachiwe lakini haina maana kuwa serikali zao ndo zimewatuma wakawekeze au...
 3. M

  Nduli Idd Amin Dada or an African Hero.

  I know, but as brief as that paragraph is, it's still an account of the Kagera war from a soldier. The OP asked for a book by a soldier, this essay by one is the best I could find.
 4. M

  "Profesa" Bingu wa Mutharika

  Tena wala hakusubiri kuletewa kaifungia safari kabisa na mara baada ya kuipata tu picha zote rasmi za rais ilibidi zichapishwe upya na "cheo" cha Prof. Dr. Bingu wa Mutharika... Wakati viongozi wenzake wengine wala hawapigii parapanda shahada zao za heshima. Huyu jamaa upeo mdogo...
 5. M

  Nduli Idd Amin Dada or an African Hero.

  Really? All history books on Africa are written by westerners? Mbeki supposedly said that?! A cursory look at Amazon suggests otherwise but I digress, anyway here is an excerpt from an essay by Major General Lupogo, a soldier, albeit retired now, as per your wish: The war between Tanzania and...
 6. M

  "Profesa" Bingu wa Mutharika

  Walishaona jinsi ya kumpata ni kuipiku "PhD" yake ya Pacific Western, basi wakamkorogea huo uprofesa wa heshima... but as we all know there is no free lunch...
 7. M

  "Profesa" Bingu wa Mutharika

  Here's a link to Bingu wa Mutharika's professorship story. President of Malawi Visited East China Normal University and was Engaged as our Honorary Professor
 8. M

  "Profesa" Bingu wa Mutharika

  He was apparently awarded an honorary professorship in Economics by East China Normal University, "jamaa wa magharibi" had nothing to do with it.
 9. M

  Elections 2010 Elimu ya Mh. Abood (mgombea urais Znz) ina wasiwasi

  St.Clements Univerity is nothing but a degree mill... kaaazi kwelikweli!
 10. M

  Yet Another Confusing Message From god

  Radi inaweza kupiga popote na kuharibu chochote (ambacho hakina arrestors), what I don't get is what's so special about this sanamu la Yesu kupigwa radi? Am I missing something here?
 11. M

  United States of Africa!!

  Muungano wa Bara na Unguja unatutoa kamasi sembuse wa Afrika nzima! It's good to dream though!
 12. M

  Africa varsity ranking irks UDSM don

  Nimepita UDSM awhile ago, nakumbuka prof mmoja wa hesabu ambaye alipata PhD yake baada ya kufundisha kwa miaka mingi tu akawa anajiita Prof.Dr. Ralph Masenge alinifundisha hesabu enzi hizo FoE. Huyu mwanazuoni alikuwa akitoa test anatoa karatasi 25 tu wakati Lecture theater imejaa wanafunzi...
Top Bottom