so many people responded to my post.
I want to add this information= Diminished libido (sex drive), erectile dysfunction (impotence) is a sexual problem in men with the following characteristics:
An inability to acquire or maintain an erection satisfactory for sexual intercourse...
Inavyo onekana watu wengi hawajui maana ya nguvu za kiume. huenda hata wewe hujui. ndiyo maana wengine wanavuka mstari na kusema hata wanawake wanazo nguvu hizo.
wengi huchanganya wanashindwa kutofautisha kati ya HISIA NA UWEZO WA KUFANYA MAMBO na nguvu zenyewe za kiume.
kwa sababu hiyo...
Jitahidi kutosema uongo, si kweli kuwa wanaume wengi simu zao zinapassword, hata kama zina password basi watu wanajaribu kutunza kumbukumbu mhimu, maana siku hizi tuna simu banking mimi simu yangu naweza kufanyia shughuri zote za kibenki hivyo ni muhimu kuprotect benki yangu.
Tatizo lako...
Nimekuwa nikishangaa sana , eti waziri anasema matokeo haya nimabaya sana wanataka kuunda tume kuchunguza kwa nini?
Ndugu zangu hakuna haja ya kuchunguza mataizo yaliyo wazi. Mfano walimu wanadai madeni serikali inasema inafanya uhakiki
basi walimu wameamua kuwa kwenye cold mgomo hadi serikali...
mambo haya sababu kubwa ni disoders katika mfumo wa chromosomes zinaposhindwa kugawanyika ipasavyo au ziligawanyika vizuri lakini katika hatua nyingine za mwanzo kabisa za ukuaji cell zinazo husika zimeshindwa kugawanyika ipasavyo. nawapa pole sana wazazi hawa.
kitu kingine wazazi wanaombwa...
kama unadhana hii ilikuwa ni hoja ya CHADEMA peke yake basi umepanda gari ambalo hujui linakupeleka wapi. CHADEMA wanadai haki za watanzania wewe una tetea usisiem naona hufikrii mbali. sisi tunataka serikali inayowajibika bila kulazimishwa na CHADEMA.
wanawake wako hivyo kwasababu tu mira zetu haziwaruhusu kutongoza lakini wanahitaji sana sex ndiyo maana wanaamua hata kwenda kwa waganga iliwampata angalau wa kuwashughulikia. hilo liko wazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.