Kwanini simu za vijana wengi walio kwenye NDOA zina pasword?

me nimeweka pwd coz kuna mijitu inachunguza cm za watu kujua unatumia ID gani JF,ila nikiwa home na disable inakua haina pwd
 
Jitahidi kutosema uongo, si kweli kuwa wanaume wengi simu zao zinapassword, hata kama zina password basi watu wanajaribu kutunza kumbukumbu mhimu, maana siku hizi tuna simu banking mimi simu yangu naweza kufanyia shughuri zote za kibenki hivyo ni muhimu kuprotect benki yangu.

Tatizo lako unamawazo finyu unadhani kila mwenye password basi ni kwa sababu ya maswala ya ufusika.
Kumbuka kila mtu ana interest zake sio wote wanao penda maswala ya wanawake
 
mkuu mi sijaoa ila simu yangu ina password,sipendi mtu mwingine anapochukua simu yangu bila ridhaa yangu halafu aanza kusoma message,names list,notes na mengine
 
password kwenye simu inasaidia sana, leo hii simu yako ikiibiwa au ukiiacha mahali bahati mbaya maana yake kila mtu ataanza kuchokonoa kutaka kuangalia msgs picha na vitu ka hivyo so kuweka password inakupa privacy fulani hasa wale ambao unakuta simu zao zina msgs au picha ambazo hutaki mtu yoyote aje kuziona...:A S angel:
 
Back
Top Bottom