Mtoto wa ajabu; sehemu za sri zipo Kichwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa ajabu; sehemu za sri zipo Kichwani

Discussion in 'JF Doctor' started by Kichwa Ngumu, Apr 27, 2012.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa ajabu amezaliwa katika mji wa songea ambapo sehemu za siri zipo kichwani na zingine zipo kule zinako stahili kuwepo na anauzito wa kilo moja na nusu.
  source Channel ten

  Nini kinasababisha mtoto kuzaliwa tofauti (abnormal)?
  karibuni
   
 2. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hao nadhani walikuwa mapacha wawili ambao wameshindwa kugawanyika.
   
 3. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  inawezekana
   
 4. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ndo sehemu za siri pekee zikagawanyika au?
   
 5. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  walikuwa hawajagawanyika mpaka mwisho. kwa uzito wa kilo ni kielelezo kuwa hiyo mimba imetoka, au kulikuwa na tatizo hawakuweza kugawanyika mpaka mwisho
   
 6. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bilashaka
   
 7. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mabadiriko tabia nchi KATIKA MWILI! Tuwape pole wazazi.
   
 8. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  pia wameomba msaada ili waweze kupata matibabu ya mwanao.
   
 9. c

  chilubi JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Aisee hiyo kitu si mchezo, sasa akiwa mkubwa itakuaje kuhusu yake mambo ya ku Do? Jamani wenye uwezo wajitolee plz, ni very serious vyenginevyo mtoto atakuja kuharibika kisaikolojia na akose haki zake
   
 10. D

  Dan Geoff P Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 25
  MTOTO WA AJABU MWISHO.JPG mtoto mwenyewe ndo huyo,,,,,tuwe makini na matumizi ya dawa hasa miezi mitatu ya mwanzo (first trimester) huwa inasababisha sana matatizo kama haya.
   
 11. D

  Dan Geoff P Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 25
  MTOTO WA AJABU 3.JPG DSC00632.JPG MTOTO WA AJABU 2.JPG
   
 12. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  poleni sana wanafamilia kwa hilo najua huenda ni matatizo ya mabadiliko.au mama mzazi alikuwa anatumia dawa aina ya flagile.mana nayo sio dawa nzuri kwa wajawazito:bounce::playball:
   
 13. d

  debito JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Eee Mungu tusaidie maana tunajibebea mimba hatujui tunakitu gani tumboni,this is more than we think mungu awatie nguvu
   
 14. DGMCHILO

  DGMCHILO Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Poleni wazazi wa mtoto
  MUNGU awape ujasiri wa kumpenda
   
 15. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kwa kuangalia hiyo picha hana sehemu za sri kichwani. ni mambo ya watanzania kuwaza sana chini ya kitovu. huyu mtoto utosi haujaafunga, kwa kumuangalia hta kifua moyo wake pia ni tatizo. nafikiri ni tatizo la mutation hapa. kupona sigarantii. mungu saidia hii familiya katika mazingira haya magumu
   
 16. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  OMG... :wacko:
   
 17. m

  mwakabembe Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mambo haya sababu kubwa ni disoders katika mfumo wa chromosomes zinaposhindwa kugawanyika ipasavyo au ziligawanyika vizuri lakini katika hatua nyingine za mwanzo kabisa za ukuaji cell zinazo husika zimeshindwa kugawanyika ipasavyo. nawapa pole sana wazazi hawa.

  kitu kingine wazazi wanaombwa kutotumia dawa mbalimbali wakati wakiwa na ujauzito mchanga bila ushauri wa dactari
  mwisho umri mkubwa wakati wa kuzaa unaweze pia kusababaisha matatizo kama haya.
   
Loading...