Kushuka kwa elimu TANZANIA je kuna mkono wa siasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushuka kwa elimu TANZANIA je kuna mkono wa siasa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mwakabembe, Apr 29, 2012.

 1. m

  mwakabembe Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikishangaa sana , eti waziri anasema matokeo haya nimabaya sana wanataka kuunda tume kuchunguza kwa nini?

  Ndugu zangu hakuna haja ya kuchunguza mataizo yaliyo wazi. Mfano walimu wanadai madeni serikali inasema inafanya uhakiki
  basi walimu wameamua kuwa kwenye cold mgomo hadi serikali itakapo maliza kuhakiki madai yao.

  JAMBO LA KUSHANGAZA ZAIDI NIPALE AMBAPO MASWALA HAYA HUINGIZWA KWENYE SIASA, ELIMU NA SIASA HAVIENDI KABISA

  KILA MTU ANAFUNDISHA HATA WALIO FELI WANAVITUO VYA TUITION HATUWEZI KUBORESHA ELIMU NAMNA HII
   
 2. i

  isele Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hilo lawezekana pia kwani kama hawatengenezi mazingira mazuri ya waalimu, na wanafunzi ni siasa ndio chanzo,
  Kwani kama nchi lazima iliangalie sana swala la elimu.
  Kuna mashrooms za academy ambazo sijui ni watanzania wangapi wanaafford, not that na shule zetu za kayumba hata hapa bongo tu watoto wanakaa chini na waalimu ni wachache,
  Elimu sio sawa na kuswaga ng'ombe ni connection kati ya mfundishwaji na mpokeaji sijui hiyo ratio imekaaje.
  Siasa inachangia.
   
Loading...