Recent content by Mwajombe jr

  1. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Anatuletea picha za vinyunguni 😂😂😂😂 hata hapaeleweki wamelima mazao gani
  2. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Hamna Hamna kitu apoo njombe tupo kwenye kilimo Cha biashara na viwanda vyake vipoo ka chai, mbao na parachichi yapoo mashamba na viwanda vyakee apoo s ka vinyunguni wanako Lima mboga mboga na nyanya
  3. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Tunaendeleaa na ujenzi wa viwanda iiii ndo makambako ya viwandaa haina haja ya kusubili ajira toka tamisemi
  4. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Hospitali ya rufaa ya mkoa iyooo swala la kuitwaa manispaa ni maswala ya mudaa tuuu soon tutaitwaa Mambo mazuri hayaitaji haraka ndo ka Lindi ni manispaa ilaa Hamna kitu kulee mjii umepoaa biashara hamna
  5. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Watuliee dawaa iwaingiee Mambo mazuri yanakujaa makambako ya Sasa kila sector kumekucha ni shidaaa
  6. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Mambo yashabadilika saiv lami za mitaani kila Kona zinapigwaa na maendeleoo Yana hatua zake mfano mjii wa makambako magegere lami za mitaani zimepigwaa za kutosha wakimalizaa ukoo wanaelekeaa kata ya kivavi ni swala la mipango tuuu
  7. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Makambako iyoo mkuu kila Kona kumekucha ni shidaaa bajaji zinaongezekaa kila kukichaa yani swala la usafili ndani ya mjii wa makambako ni uhakika
  8. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Proud of Njombe
  9. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Ayoo matukio yapoo kila mjii wezi wa maji na umeme wapoo wakutoshaa
  10. M

    Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    makambako iyoo 🔥🔥🔥
  11. M

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    DODOMA BUS TERMINAL🔥🔥🔥
  12. M

    Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    Kibodamo hoteli ndo gorofa lefu kwa makambako na limejengwa juzi juzi tuu apooo kwaiyoo baada ya muda kidogoo majengo ya gorofa yatakua ya kutoshaa na kwa makambako uwekezaji ni mkubwa sasaa
  13. M

    Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    makambako iyooo saiv miji mingi inakua kwa Kasi mfano makambako fursa ni nyingi saivi viwanda vipoo vya kutosha na vibali vya kujenga gorofa vinatolewaa bila kipingamizi kwaiyoo miaka ya 2025 tutegemee makubwaaa. Kwa mfano upande wa shule za English medium miaka ya 2015 zilikua Hamna ilaa saiv...
  14. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Kiwanda Cha MSD idofi kikianza kazi tutegemee population ya watu katika mjii wa makambako itakua kubwaa
Back
Top Bottom