Recent content by mwajg

  1. M

    Nampongeza Meya wa Ubungo, Boniface Jacob kwa kuipa UKAWA ushindi

    Mkiti wa maisha F Mbowe dikiteita mkubwa asiyetaka kuachia kofia moja kila kitu anakihitaji uchu wa madaraka chama kakipeleka shimoni hakuna kiitu kiitwacho Mapato na matumizi
  2. M

    Kubenea: CCM ilitenga billion 5 kwa ajili ya ununuzi wa wabunge na madiwani

    Kubenea anatafuta kiki je Nyarandu alilipwa kiasi gani
  3. M

    Mbunge wa Mbozi Magharibi(CHADEMA), David Ernest Silinde kuweka msimamo wake bayana hapo Kesho

    Yote tisa CDM isubiri tetemeko ktk mkutano mkuu wa CCM tar18/19 mkae na Mwenyekiti wenu wa maisha na fisadi Lowasa mtakoma nao na hayo ni manyunyu ya mvua erinino yaja wa mabondeni hameni mapema msije kumbwa na mafuriko
  4. M

    Msafara wa Rais Magufuli wagonga mtu Dodoma

    RIP ILA MIMI NILIKUWEKUWEPO HAPO DODOMA KWENYE TUKIO INAONEKANA ALIYE GONGWA ALIKUWA NA UPUNGUFU WA AKILI ALI KOSWA KOSWA GARI MBILI ZA MWISHIO YA TATU NDO IKAMUMALIZIA MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE PEMA PEPONI
  5. M

    Hivi Mange ni tishio kuliko Snowden?

    Je na Nyarandu alinunuliwa kwa sh ngapi ! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu muchungu kwani matusi ya mange yanaisaidia nini nchi wewe kama ni jasiri fungus act ya matusi hatuna muda huo kwa sasa hapa ni kazi tu
  6. M

    Tuache utani; Pamoja na udogo wake lakini mshahara una heshima yake

    Ambaye alidhiki na mshahara aachie ngazi walio Nje ya system wanatamani waingie wakipatae na hicho kidogo unacho dhalilisha Mungu anawaonaaaa
  7. M

    Mdogo wangu aliomba post ya reception EWURA na NMR mpaka sasa hajaitwa

    Huyo akisha pata anaanza kusema mshahara hautoshi wengi wanaangaika na Ajira wengine wana mdhihaki Mungu kwa kujaliwa kupata nafsi tusiwe wafadhilaka
  8. M

    Tuache utani; Pamoja na udogo wake lakini mshahara una heshima yake

    Ambaye aridhiki na mshahara afadhali akalala mbele wengi wanatafuta kaz hawapati iwamelalia ma degree/ masters Ndani tujipongeze tulio jaliwa kupata kazi
  9. M

    Nyongeza ya mshahara ya 6,600/= ni dharau kwa wafanyakazi

    Wewe uache fitina kiasi kilicho ongezwa kwenye mishahara yetu sio sh 6600 asiye shukuru kidogo na kikubwa hawezi kushukuru muogopeni Mungu hela wakati wote haitoshi hats tunge lipwa ma Billion's of Money !!!!!
  10. M

    Jesca Kishoa kwa hili la kumkosoa Kafulila hadharani na kufuta picha zake kwenye mitandao yako ya kijamii, umekosea

    Sifa zi muendee Bi Hillary Clinton alivyo msimamia Mume wake kwenye swala la ufukusa mpaka akaibuka kidedea lep hii Jesca kadhalilisha wanawake Kafulila aliluwa NCCR Jesca CDM Mbona ugomvi haukuwepo ? Au Mbowe ana mfanya Mchepuko Jesca ? Hii inatia shaka !!!!!
  11. M

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Kwakweli mambo safiiiiii sana aduma rais wetu
  12. M

    Jeremiah John Pombe apasua Darasa la Saba

    Vidole havilingani wacha Rais achape. Kazi
  13. M

    DC Mnyeti: Nilichangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi CHADEMA

    Nimekuelewa Nasari /Lema wote pumba kukicha wanabuni mbinu chafu tumewachoka tuna chokitaka ni Maendeleo so ushahidi wa kimangumashi wakawatumikie wananchi walio wachagua si vingenevyo
  14. M

    Jerry Muro: Utoto huu wa mbunge Nassari na Lema, Watanzania tuwe wakali. Tutapoteza taifa

    Muro yuko sahihi hizo picha hazieleweki kabisa Akina Nasari na Lema wanatafuta kiki jamani tutakalia malumbano mpaka lini ?
Back
Top Bottom