Sasa si ungezitaja tu ili na sisi tuzijue?
Ila usije ukatuambia kule kuna kuwa na mafuriko na nyaya zipo chini ya ardhi; sioni ikiwa sababu kwani genereta inaunganishwa kwenye mfumo wa umeme wa TANESCO
Nakama kulikuwa na mifumo miwili inayo jitegemea (kizamani)wangemuita fundi umeme ahamishie...
Nilishawahi kushauri hapa kuwa soko la korosho liendane na nyakati;
Na maanisha kipindi hiki ambapo bei sio nzuri, wangetoa tu bei elekezi soko huria linunue. Kuna uhaba wa korosho huku kwenye masoko ya Ndani; halafu mtu anakuambia korosho imekosa soko!
Sijui ni soko gani Tanzania korosho...
Hongera sana mama
na kwa Jeshi la Anga kama watatumia zaidi watu wa liosoma Saiyansi ( Alevel) litakuwa na ufanisi wa hali ya juu sana. Nasema hivyo nikijua kuwa ukiwa na wataalamu 10 wenye msingi wa Physics (A-level) ufanisi wao ni sawa na jeshi la mamia ya watu. Mfano: Mahali adui anarusha...
Kuweni basi serious sio kila saa mnawazia ngono!!!
Mimi nimesema mdogo wangu sasa wewe kama utahitaji kusema mengine hayo ni yako
By the way hayo hayahusiani na mada tajwa
Wapendwa
Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History)
Kama kuna mtu anaweza kumuunganishia kazi; karibu Inbox tuyajenge
Mwenyewe Yupo Dar ila anaweza kwenda mikoani kulingana na offer
Hiyo ni hatari, mtaa maarufu kama njiro kukosa Maji?
sasa kama waliweka mtandao wa mabomba ambao hautoi maji hiyo haijakaa sawa
Nafikiri wangejenga hata Tank la maji mitaa hiyo ili waweze kusambaza maji walau mara mbili kwa wiki
Kimsingi hakuna jibu la moja kwa moja kwani, inatokea kwa bahati mbaya mtu akutane na hayo mazingira
wakati mwingine aweza kuwa mama mkwe au mawifi au wote kwa pamoja ILA mara nyingi msimamo wa Mwanamme kwa Kushirikiana na Mke wake huya shinda hayo yote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.