Recent content by mwaikole2003

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

    KUKAA KIMYA WAKATI MWINGINE NIKUZURI ZAIDI KULIKO KUSEMA. HEKIMA HUJENGA HESHIMA.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji amvaa Gwajima sakata la chanjo, amwambia ana akili ya kuhubiri siyo Sayansi

    Hoja iliyopo mbele yetu sasa ni kuhusu chanjo na madhara yake. Askof Gwajima ametoa hoja zake kuhusu chanjo tunaomba wataalamu wajibu hoja kwani wengi wanaomshambulia kuwa hajui sayansi nao pia siyo wataalamu kama alivyo Gwajima. Tunahitaji majibu ya kitaalamu juu ya usalama wa Chanjo hizi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ni Nyerere tu!

    HAKIKA BABA ASKOFU BAGONZA.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma ipo siku mtakumbuka maneno ya Lissu kuhusu kikokotoo

    Hili la kikokotoo cha mafao ni maafa yajayo tusipochukuwa hatua sasa. Katika hili halina chama. Take action now.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

    It is my belief that Uhuru and Raila will pass but Kenya as a country will remain. I wish kenyans a peaceful presidential election.
  6. M

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    KIMSINGI HALI HII NI TETE. TUNAMTAKIA MH. LISU UPONAJI MWEMA. TUNAHITAJI KUWA WATULIVU ILI KUTOA NAFASI KWA VYOMBO VYA USALAMA KUFANYA KAZI YAKE.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii hapa hukumu ya wananchi kwa Edward Ngoyai Lowasa

    Kazi kwelkweli!!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Uchaguzi wa mwaka huu tutaona mengi sana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Heshima ya wanadamu hujengwa kwa gharama kubwa lakini hupotea ndani ya sekunde chache.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa anakera, Tambwe ni pigo kubwa kwa CCM

    Alama za nyakati muhimu kuzisoma
  11. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Walioanguka kura za maoni kuula

    Mwaka huu mengi yatasemwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Kuanzia katavi ni mkakati wa kumfuata mzee wa wapigwe tu baada ya kutoonekana kwenye ufunguzi jangwani.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wassira atimka na daftari la wadhamini

    Du hii kali
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Ngoja tusubiri.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Upepo umegeuka, Marafiki wa Lowassa wapinga swahiba wao kwenda CHADEMA, Apson Matatani

    Ninapita tu. Nilifikiri ungefurahi kwa Edo kuhamia upinzani hilo kwani ni ushindi wa wazi kwa CCM kama dhana za baadhi ya post zako zilivyoelezea.
Back
Top Bottom