Hivi watu wa Bunda na ukorofi wenu woote juyu sokwe anawasumbua atakavyo, mtangulizeni mbele ya haki akatusubiri salama
daftari la wadhamini ni mali ya serikali, mtu kuondoka nalo ni kuvunja sheria, bunda hakuna polisi? hawakupewa taarifa? au ndio kawaida ya bora liende?
Gombe united vs Mrembo starshapo ndo kacheka au?
Kaahidi kuleta maendeleo ndani ya miaka mitano 2015 to 2020! Is he serious?
Msimbe kapendeza dah!
Porojo za asubuhi asubuhi.
Pius yule jambazi sugu! Kiukweli kamati kuu wangemuacha huyo jambanoka aisee mzee wasira angeshinda uchaguzi