Mimi nahitaji kujua maabara zipi/wapi zinahusika kupima kiasi cha chumvi kwenye kisima kwa mikoa ya pwani, Morogoro na Dodoma maana nina mdau ana shida hiyo kwenye maji ya kisima alichochimba.Shukrani
Well said, Waafrica wengi haya mambo yapo.
Tatizo ni kama umemficha mmoja au humpi airtime kama mwenzie (ingawa unaweza kua na sababu zako za kiufundi maana sio kila kitu walimwengu wajue).
Hiiumeijibu Kimila.sana hadi nimecheka, kwa tamaduni za Kiafrica hasa..hakuna ukaribu wa mwanamke na mwanaume wasio ndugu tena wajifungie ndani.
Ki mtazamo wa kisasa yote yanawezekana kukaa pamoja bila jambo as far as nwanamke haja consent umfanyie jambo!
Chief una maanisha nini? Jukumu lako ni kupiga kura kwa mtu sahihi, swali ni unayempigia akiwa mshindi atatangazwa? Huo mwaka uliotaja kwani tulikosea nini? Tulipiga kura ila hatma ya nani atangazwe ndio issue ilipokua!
Usitegemee miujiza.
Chief una hoja ya msingi, lakini kama unazingatia uhalisia mfano Nairobi na kwingineko. ...wateja wako madaraja tofauti na mahitaji tofauti.
Haiwezi na haijawahi AirBNB ikawa subsititute ya lodges, guest na zingine. Ila tu, zimeleta mapinduzi makubwa kwa wateja wa huduma za malazi yanayotoa...
Kabisa....marais wa marekani wakitembeleaga nchi nyingine hua "wanajiachia" mtu kama hujui unaweza dhani wamenaswa kizembe kumbe waapi. Wanakuaga na technical teams veryfocused ambao show zote za negotiation..contracts etc wanasimamia.
Wenzetu hawa sio sisi wa kusaini mikataba hotelini kichwa...
Akiwa anatumia vizuri (tunaita ufuasi mzuri) viral load inakua chini hivyo uwezwkano wa kuambukiza unakua mdogo, ingawa bado tunasisitiza Kuchukua TAHADHARI. .....na je wewe ambaye huna kinga wala hauna dawa status yako ya maambukizi unaifahamu? Unaweza kumuongezea mwenzio batch ya maambukizi zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.