Recent content by mwaichanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Hivi ukiwa na ndugu yako kichaa utamfanyaje. Umeandika pumba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Trump Tower fire: three people injured in New York City blaze

    Duuu ata huko haya mambo ya kupoteza ushahidi yapo kumbe
  3. M

    JamiiForums Tanzania NAPE: Ni rahisi kuchukulia poa kwasababu kwako mambo yanaenda, lakini sio hata kidogo

    No permanent situation under the sun, just do justice never sure what will happen tomorrow.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuongee asubuhi na Albert Msando! Mada: Hama hama ndani ya vyama vya Siasa. Je, ni kukua kwa demokrasia au ni rushwa?

    Hamna lolote kukubali ukandamizaji wa democrasia ndio kukomaa kisiasa. Kutumia dola kupiga watu. Aseme ametumia ile wanaita if you fight them, join them
  5. M

    JamiiForums Tanzania Statement: Positive results from Buzwagi processing trial

    Mimi hata sijaelewa nangoja Watudadavulie kwa lugha ya kwetu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Madiwani wanaojiuzulu ni hasara kwa serikali ya CCM!

    Cheap politics costs the taxpayers
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lazaro Nyalandu anavyohujumu watu wake

    Jimbo la sgd kaskazini halina mtu na wananchi wake wanampenda kwa umaskini wao wa fikra na uchumi. Huu mtindo wake miaka mingi alishawahi kumtelekeza mwanafunzi mtc alikuwa anamsomesha ftc mwaka 2000 au 2001 akafukuzwa chuo kwa kukosa ada. Tokea hapo nikajua huyu ni tapeli tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania TLS kuipeleka serikali mahakamani kwa kuongeza 15% kwa wadaiwa wa HESLB

    Mbona kichwa cha habari na habari yenyewe ni vitu viwili tofauti..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rwanda nyuma ya kufukuzwa Shyrose!

    Ametumikia vipindi vya kutosha apumzike na wengine wajaribu. After all nothing new they are just dealing with hardcopy issues only rather than soft issues like democracy integration. ,politics etc
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM na simulizi za Charles Njonjo......

    Well Well said and message sent
  11. M

    JamiiForums Tanzania Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

    Hii ni taarifa muhimu ya kujua tuko wapi na tunaelekea wapi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

    Kusema kweli siwezi kuamini hizo flat 20 za ghorofa 4 kila moja zaweza jengwa na 500ml. Labda kuna hela zingine zimeongezwa lakini .........
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Marufuku RC, DC kuwakamata na kuwasumbua madaktari

    Ninamwamini sana Ummy Mwalimu huwa hskurupuki ukiona ameongea ujue ni point sio wengine wa kutafuta kick kwa mkuu kwakufanya mambo ya ajabu. Wananchi hawana vyoo, maji mmachafu eti unamkamata daktari kwanini kipindupindu hakiishi . Ni ajabu sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dangote:Nimeridhishwa na utendaji na uongozi wa Rais Magufuli

    Kwa mazingira mazuri aliyowekewa Dangote kwanini asifurahie kuwekeza Tanzania?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA Ikungi, Kwimba wajiuzilu kwa udikteta wa Lissu na ukosefu demokrasia

    Njaa mbaya sana . Waondoke kama wameona hakuwafai watakuwepo wengine
Back
Top Bottom